getrusa
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 2,150
- 1,812
- Thread starter
- #21
Ahsante mkuu.!
Mimi ninaitazama zaidi katika namna ya kisayansi badala ya kiimani.
Sabbu ukiingia katika uwanda wa Imani inawezekana ikawa ngumu sana kupata majibu ya kila swali. Kwa hii ya (blackseeds oil ) kwenye jukwaa hili ningetamani tujadili maswali haya mawili..
1: Je ni dawa?
Kama jibu litakuwa ni ndio basi tujadili kisayansi kwa msaada wa watu mahili walio katika tiba humu ndani..
2: Ni vipi hutibu.? Kisayansi
Nadhani tukiwa na mjadala wa aina hiyo utatusaidia zaidi kututoa tongotongo za macho..
Mwisho wale mashuhuda waliyo tumia na ikawatibu watatupa uzoefu wao sabbu naamini wengi wapo humu na wanasoma huu uzi. Baadhi yao wamenunua kwangu na kunipa mrejesho chanya.
Na bila shaka wengine wamenunua kwingine tukikusanya majibu hayo tutakuwa tumepiga hatua mbele zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app

Ila mafuta hayo yasiwe yamesomewa dua zinazoita makabila 99 ya majini kuwa sehemu ya tiba. Utafiti umeonesha kwamba wanaotumia mafuta ya aina hiyo, badala ya kuondoa tatizo, hulizidisha kwa sababu wale majini waliohusishwa kwenye mafuta hayo huwa na demand zao za kijini kwa Yule mgonjwa.
Ni vyema mafuta hayo yatumike kama Rhema (instant revelation) na siyo Logos (regular).
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app