Mkanganyiko kuhusu matumizi ya Blackseeds oil (habat sawda)

getrusa

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
2,150
1,812
Kumekuwa na sintofahamu na maelezo mengi yanayokinzana kuhusu matumizi ya habat sawda kwamba kipi chafaa kutumika mafuta, unga ama mbegu zake.!

Hapa mimi nitatoa mtazamo wangu japo ni uwanja huru kila mtu aweza toa mtazamo wake kwa kadri aonavyo ni sahihi lengo letu sote ni kuwasaidia ndugu zetu wwnye maradhi yanayohitaji msaada wa tiba hizi za asili..
Kwa mtazamo wangu matumizi ya mafuta ni sahihi zaidi kuliko unga ama mbegu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu, ngoja na wengine waje tuone michango yao, lakini labda nikuulize ni kwa nini iwe mafuta na isiwe mbegu au unga wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nadhani matumizi ya mbegu ni sahihi kuliko mafuta na unga.

Mimi nimeagizwa kuchanganya Barley + ngano + Habat sowda (100grams each) kuzichemsha kwa dakika kumi na kuchuja hayo maji kwa matumizi ya kutibu sukari inayoanza. Problem niliyonayo hiyo Habat Sowda ba Barley sijui vinakopatikana. Niko Arusha
 
Kama upo Dar nenda Kariakoo zinaposhusha gari za Tegeta uliza yalipo maduka ya kuuza viungo vya vyakula.
kama upo mkoani jaribu kuulizia yalipo maduka ya dawa za kisunnah
utazipata
 
Sawa mkuu, ngoja na wengine waje tuone michango yao, lakini labda nikuulize ni kwa nini iwe mafuta na isiwe mbegu au unga wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni hesabu rahisi sana kuijua kwa mtazamo wangu,!
Kilicho na nguvu ya kutibu(dawa) ni mafuta yaliyo ndani ya mbegu ambayo kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kisayansi yana kemikali asili nyingi sana,
Ili uweze kupata unga ni lazima ama huwa ni vema utoe mafuta kwanza kisha utabaki na makapi ambayo bila shaka waweza kuyasaga kutoa unga. Mfano ni mashudu/mabaki ya mbegu za alizeti na mbegu za pamba.
Si kwamba unga unakuwa hauna yale mafuta la hasha yanakuwepo ila kwa kiasi kidogo sana.

Ukitumia mbegu ni sahihi ambapo utapata mafuta na gamba lake(unga).
Changamoto itakuwa je unahitaji kipimo gani..?
Mfano kwa mujibu wa recomendation (ushauri wa kitabibu wa kisayansi) mwanadamu anatakiwa kutumia kiasi cha mils tano ya mafuta hayo kila siku kwa wastani ambayo twaifananisha ujazo huo sawa na kijiko kidogo cha chai..
Kwa matokeo bora.!

Sasa swali langu ili upate kiwango hiki unachoshauriwa kitaalam kwa siku je unawezaje kupima kiwango hicho kwenye unga? Unahitaji unga kiasi gani ili kupata 5mils.?
Au je utahitaji mbegu ngapi kwa siku ili upate kiwango hicho cha kipimo kwa siku..?
kwa uelewa wangu kushindwa kupata kipimo halisi kwa mahitaji ya mwili wako unaweza kuwa na matokeo ya aina mbili
Kuzidisha kiwango cha dawa au kupunguza kiwango..
Hivyo sabbu ni rahisi zaidi kupata kipimo cha mafuta huenda matumizi ya mafuta ikawa uamuzi bora zaidi kuliko hizo njia nyingine..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upatikanaji wa mafuta haya ni rahisi sana unaweza kuyapata popote itategemea tu na ubora uutakao mfano kule unguja wao hukamua na kuyajaza wenyewe kwenye vichupa. Vidogo pia nimeona maeneo ya kariakoo.! Soko maarufu likiwa kwenye misikiti
Pia yapo yanayoingizwa toka nje ya Nchi kwa bei ambayo ni bei ya juu kidogo na waweza nunua online.
Pia yapo yanayotoka mashariki ya mbali (China) na mashariki ya kati (uarabuni)
Kifupi pesa yako ndio itakayo amua upate ya ubora upi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu yanatibu maradhi mengi sana. Kama tiba asili.. ingia google kwa maelezo zaidi.
Hapa chini nitaweka baadhi ya maradhi yake.
Mafuta hayo yanatibu nn
19-Actions-of-Black-Seed.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bei kila mtu huwa na bei yake kutegemea na ubora na upatikanaji wake hivyo sidhani kama itakuwa vema mimi kuweka bei yake hapa. Ila anayehitaji aweza wasiliana nami Pm.
Kuhusu kuweka magonjwa kwa kiswahili ingekuwa vema zaidi lakini nimenakili aina hizo za magonjwa kutoka kwenye vyanzo vingine vya taarifa. Mitandaoni ili kuweza kutupa upana wa kuelewa. Na hii inatusaidia kujua kuwa sio sisi peke yetu ambao twaona mafuta haya au dawa hii ni msaada bali ni jambo ambalo lipo kwa mapana zaidi na duniani kote wanaitambua.
Mwisho nadhani hali yako ya uchumi, ndiyo inayoweza amua aina ipi na kiwango (quality) ipi uitumie kwa matatizo yako.
Taja bei na kipimo. Af hayo magonjwa ungeweka kiswahili
21-black-seed-oil-benefits-1-anti-oxidant-2-anti-diabetic-3-anti-inflammatory-4-anti-depressa...jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii black seed inatokana na matundagani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mafuta ya mbegu nyeusi za mmea unaojulikana kama Nigella Sativa.. unamea ama kustawi zaidi kaskazini mwa Afrika Mashariki ya kati na kusini ya Asia..
Nadhani ni kutokana na hali ya kijiographia. Hapo chini kuna mmea ambao unaua lenye mbegu tayari wajuzi wa kiswahili waweza tusaidia jina lake kwa kiswahili na maeneo ambayo kwa Nchi yetu unaweza kumea na kustawi kwa urahisi..
infografiacominonegro.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mafuta hayo yasiwe yamesomewa dua zinazoita makabila 99 ya majini kuwa sehemu ya tiba. Utafiti umeonesha kwamba wanaotumia mafuta ya aina hiyo, badala ya kuondoa tatizo, hulizidisha kwa sababu wale majini waliohusishwa kwenye mafuta hayo huwa na demand zao za kijini kwa Yule mgonjwa.

Ni vyema mafuta hayo yatumike kama Rhema (instant revelation) na siyo Logos (regular).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom