Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,514
- 146,036
Sumbula ni jina lililotumiwa na WaSwahli mabaharia kutambua nyota angavu Alfa Virginis (king. Spica) katika kundi la nyota Nadhifa (king. Virgo)
Kwa hiyo sumbura ndo Jupiter?
Sumbula ni jina lililotumiwa na WaSwahli mabaharia kutambua nyota angavu Alfa Virginis (king. Spica) katika kundi la nyota Nadhifa (king. Virgo)
Hiyo Astrolomia haina jina la Kiswahili ?1. Katika sayari za mfumo wetu wa Jua kuna sayari nne zilizo karibu na Jua ambazo ni ndogo mno ukilinganisha sayari nne za mwisho ambazo ni kubwa mno kwa ulingansho na sayari hizi za jirani na Jua. Kati ya sayari hizo 4 kubwa iliyo kubwa zaidi ni Mshtarii (Jupiter).
2. Neno falaki limetumika kutambulisha elimu ya nyota na anga llote la juu katika Ulimwengu huu. Lakini neno hilo pia lintumika katika unajimu yaani utabiri wa maisha ya binadamu kwa kutumia nyota.
Kwa hiyo neno lililokubaliwa kueleza sayansi ya elimu ya nyota na anga za juu ni ASTRONOMIA.
Hii Mars ni Mihiri au Mirihi?Mercury - Zebaki
Venus - Zuhura
Earth - Dunia
Mars - Mihiri
Jupiter - Sumbura
Saturn - Saratani
Uranus - Zohari
Neptune - Kausi
Pluto - Utaridi
Sio sayari au ni sayari kibete?Pluto sio sayari mkuu
Duh! Mushtara tena!?Kama jupiter ni sumbura, mushtara ni nini?
Kwenye notes zangu za primary imeandikwa Mihiri.Hii Mars ni Mihiri au Mirihi?
Naomba hili la Mushtara liulizwe kesho. Hii ni kamusi ipi ili tuwe na reference
Actually the correct name is mushtari.
Actually the correct name is mushtari.
Kamusi imekosewa.
Mushtari/Mushtara ni neno lenye asili ya kiajemi.Hilo linaweza kuwa ni suala la kilahaja zaidi.
Hata sifuri wengine huiita sufuri....biringanya wapo ambao huiita biringani.....hata shemeji wengine hutamka shemegi!
Mushtara...mushtari....mshtari.....lakini sumbura?
Never heard of it.
Kwa hiyo sumbura ndo Jupiter?
Sumbula ni nyota gani hiyo kwa unajimuwa Kiingereza mkuu kama unaifahamu?Sumbula ni nyota, wakati Jupiter (yaani Mshtarii) ni sayari.
Mi sioni maandishi ni madogo.
Kwanini usiseme tu Falaki ni Elimu ya sayansi ya Unajimu.
Kila mtu anaweza kuwa na chanzo chake cha habari.
Hiyo ndo sababu BAKITA wanajadili kwa kuona kuna majina mengi ya Sayari.
Mchango wako unahitajika
kuwseleza BAKITA.
Inawezekana majina ya
Mushtara na Sumbura yote yana tumika kuitaja Sayari ya
Jupiter.
Sasa kama Mshtari ni neno la kiajemi kama unavyosema.Mushtari/Mushtara ni neno lenye asili ya kiajemi.
Kuna harakati za kukifanya Kiswahili kiwe na maneno ya lugha za asili za kibantu zaidi badala ya kutohoa kutoka kiarabu na lugha kama za kiajemi zaidi.
Kwa hiyo inawezekana kabisa kukawa na majina ya kibantu na kiarabu/kiajemi yanashindana.
Na kwa kuwa wewe ni Sheikh wa Pwani, haya mambo ya Malampaka unaweza usiyajue nkoyi.
Aleyo a ba ng'wani bakizaga na mamihayo ga ng'wani doho.
Ateho mna Malampaka komanya mamihayo ga e nyanza yeneye.
Noloo mna ng'wani komanya mamihayo ga kola manumbu. Eteho yeneyo.
Hiyo Astrolomia haina jina la Kiswahili ?
Maana wewe ndo mtaalamu wa Kiswahili halafu unatuandikia kiingereza.
Neno Astrology linaitwaje kwa kiswahili.