MKANGANYIKO HUU AJUAYE ANIWEKE SAWA

MKANGANYIKO HUU AJUAYE ANIWEKE SAWA

Tafsiri ya mkristo ni kufuata nyendo na maagizo ya kristo unapokuwa nje ya hayo unaitwa mpagani usifunike kombe mwanaharamu apite simamia ukweli nao utakuwa huru nyosha maelezo kama ni sahihi au viongozi wamekengeuka hapo
Mkirsto akisha kiri kosa na akakubali kutubu kwa hiyari husamehewa.
 
Umeona nyumba yake lakini?
Haimsaidii kitu kwa sasa hana thamani ya kuwa kwenye nyumba hiyo ni taka taka ndio maana wamechimba kajumba kadogo atakaa hapo milele tumtafute mungu kwanza mengine yawe ziada
 
Kuna taratibu za KKKT kuvunja ndoa, na Bible ina vigezo vya watu kuachana. Na kuna taratibu za kimila kuvunja ndoa. Mengi alishaachana na marehemu mke wake ndo maana mke wake alizikwa kwao.

Ni vyema Kujua ili ndoa ikamilike lazima ufuate taratibu za kimila (mahari ) viapo kibiblia (kanisani ) kusaini mikataba (serikali) .
Kwa hiyo yupo nje ya utaratibu ndoa ya kikristo huvunjika kwa sababu moja tu nayo ni uzinzi yeye alikuwa mzinifu
 
Hatuhukumu tunasema tunayofundishwa na hao wanao kusudia kuendesha ibada yake kesho wapo sahihi au wamekengeuka
Mawazo ya Mungu na Judgement zake sio sawa na Wanadamu
 
sio mzinzi hizi sheria za kukandamizana kama umeoa mwanamke akaleta mambo yà ajabu ashahuriki ana gawa nje kaondoka zake kwanini usioe tena
Biblia imeruhusu kuvunjika ndoa kwa sababu moja tu nayo ni uzinzi na utaruhusiwa kuoa mke mwingine kwa ndoa harali ya kikristo mungu amelifungua hilo kwetu
 
Hakufunga ndoa na huyo mke alikuwa anaishi naye kinyumba tu kwa mkristo hiyo inakutenga na kanisa huwi mkristo tena iweje awe na maziko ya kikristo nataka kufahamu hapo
 
Alifunga ndoa Ulaya na picha zipo mitandaoni. Kazi kwako.
 
Hatuhukumu tunasema tunayofundishwa na hao wanao kusudia kuendesha ibada yake kesho wapo sahihi au wamekengeuka
Maaskofu watakuwa zaidi ya watatu wanne pamoja na wastaafu sasa wote hao hawawezi kukosea
 
Nikunong'oneze tu kkkt Dsm walikataa kufanya ibada hiyo niliona wanae walifika kuomba ila nilishangaa haijafanyika hapo Dsm ndio maana nauliza kwa moshi kama huku yalikuwa makazi yake wamegoma
Mkirsto akisha kiri kosa na akakubali kutubu kwa hiyari husamehewa.
 
Tusubiri mkuu.
Nikunong'oneze tu kkkt Dsm walikataa kufanya ibada hiyo niliona wanae walifika kuomba ila nilishangaa haijafanyika hapo Dsm ndio maana nauliza kwa moshi kama huku yalikuwa makazi yake wamegoma
 
Alifunga ndoa Ulaya na picha zipo mitandaoni. Kazi kwako.
Haikuwa ya kikristo mkuu ni ya mahakamani lakini kitu gani kilimzuia kufungia nymbn kama hangehofia pingamizi
 
Back
Top Bottom