Mkamakukuta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkamakukuta

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jafar, Jun 11, 2009.

 1. J

  Jafar JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2009
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Jana nilisikia JK akiwasomea wabunge na wazee wa Dom kitu kiitwacho "MKAMAKUKUTA" (abbreviation ni ya kwangu), yaani Mkakati Maalum wa Kuhami na Kuunusuru Uchumi Tanzania. Nimeshawahi kusikia mikakati mingi kama Mkurabita, Mkukuta, Memkwa, Onjama etc. lakini inaishia tu aidha kwenye makaratasi au kufurahisha wakubwa (WB na IMF).

  The question is - will this Mkamakukuta work this time? Au ndio zile zile we only want to be praised by WB and IMF. Nakumbuka mwaka 1980 JKN (RIP) aliambiwa na WB na IMF apunguze thamani ya shilingi, alikataa na kuwakebehi na sisi huku tukaandamana kumuungunga mkono mwenyekiti wetu kwa fikra zake sahihi.

  Again, can some elaborate the practical side of this Mkamakukuta?
   
 2. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  watakuja na majina mengine kama matusi...
  ....hizo mkukuta na wenzake zimefanya kazi?
   
Loading...