Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 11,542
- 12,402
Wadau habari za wikiend,
Kuna wakati kulikuwa na uzi nyingi zilizokuwa na maswali mengi juu ya kupotea kwa mkali John Dillinga JD, DJ mkali africa mashariki.
Wapo wengi waliokosa entertainment zake hasa kwa namna ambavyo anaujua muziki na anafahamu kukata kiu ya mashabiki wake.
Kudhihirisha kuwa yuko fiti ile mbaya wameungana na Dj mwenzie mkali fast Eddy na kufanya Burudani ya aina yake pale SYNERGY LOUNGE Mikocheni.
Ma-Legendary hao wamebadilisha kbs sura ya burudani na hasa baada yakunza kupiga Chacha na old skul ambazo kwa kina zinagusa wengi na kufanya kumbukumbu katika mtiririko wa maisha.
Nimefanikiwa kufika mara mbili katika Synergy lounge kwa kweli nawashauri wale ma-legend na wapenda old skul msikose maana u wil real enjoy!
Sina uhusiano wowote na huyu jamaa isipokuwa nakubali sana kazi zake maana anajua anachokifanya na anajua nn mashabiki zake wanataka!
Asante naomba kuwasilisha na karibuni kwa mjadala
Baba Ubaya aka Baba Yvonne.