Mkali DJ JD 'John Dillinga' is Back............

Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
11,479
12,247
Wadau habari za wikiend,

Kuna wakati kulikuwa na uzi nyingi zilizokuwa na maswali mengi juu ya kupotea kwa mkali John Dillinga JD, DJ mkali africa mashariki.

Wapo wengi waliokosa entertainment zake hasa kwa namna ambavyo anaujua muziki na anafahamu kukata kiu ya mashabiki wake.

Kudhihirisha kuwa yuko fiti ile mbaya wameungana na Dj mwenzie mkali fast Eddy na kufanya Burudani ya aina yake pale SYNERGY LOUNGE Mikocheni.

Ma-Legendary hao wamebadilisha kbs sura ya burudani na hasa baada yakunza kupiga Chacha na old skul ambazo kwa kina zinagusa wengi na kufanya kumbukumbu katika mtiririko wa maisha.

Nimefanikiwa kufika mara mbili katika Synergy lounge kwa kweli nawashauri wale ma-legend na wapenda old skul msikose maana u wil real enjoy!

Sina uhusiano wowote na huyu jamaa isipokuwa nakubali sana kazi zake maana anajua anachokifanya na anajua nn mashabiki zake wanataka!

Asante naomba kuwasilisha na karibuni kwa mjadala

Baba Ubaya aka Baba Yvonne.
 
Sikumpenda kwa vile alivyokuwa akijishaua na kuongea kiswahili kama hakijui wakati anakijua sana.
 
Ila jamaa aliyeleta hii mada hapa atakuwa ndio mwenyew JD au ndugu yake maana povu linamtoka kwa kumpigia promo

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
John Dilinga Anajua. Binafsi Namkubali Sana.. Tangu enzi hizo za 101.4fm alivyokuwa presenter akaja the cruise EA radio then akapotea. Kwa level zake wachache sana kina peter moer, fast eddy, na boni luv. Basiii.. NB madj wanaojua ngoma za 70s 80s n early 90s

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ni mburudishaji mzuri, namkumbuka kwa the hit ya ijumaa, yah; anafahamu watu wanahitaji nn na anawapa hicho!
 
Ila jamaa aliyeleta hii mada hapa atakuwa ndio mwenyew JD au ndugu yake maana povu linamtoka kwa kumpigia promo

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

mjomba mbona unadandia train ya mwakyembe kwa mbele?
Inaonekana ht huyo Jd mwenyewe hujui anafanya nn kwa sababu aidha ni teenage au mazingira hayakukuruhusu kujua mambo ya burudani na waburudishaji

Si kweli bwana mkubwa, sina kabisa uhusiano na dj jd, nimekuwa funs wake tangu miaka mingi wakati kupiga muziki kwa cassette tapes, hvy namwelewa huyu jamaa na mkubali sana kwa kazi yake hiyo!

Na wala sijaona povu lolote unalozungumzia zaidi i take it as a challenge maana kwenye society yoyote akina nyie hamkosekani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom