Twilumba
Platinum Member
- Dec 5, 2010
- 13,575
- 16,433
Naomba ambaye aliweza kutunza zile Mixed CD/TAPES za JDs Bongo Explosion za DJ JD (John Dillinga Matlou) za miaka ya 2000 akiwa anafanya project hiyo ya Bongo Explosion anisaidie niweze kuzipata nipo Arusha.
Kwa mujibu wa DJ JD akihojiwa na The playlist ya Times FM kuna mdau yupo Dodoma anazo plz kama unazo naomba tuwasiliane tuangalie nazipataje.
Asante.
Kwa mujibu wa DJ JD akihojiwa na The playlist ya Times FM kuna mdau yupo Dodoma anazo plz kama unazo naomba tuwasiliane tuangalie nazipataje.
Asante.