matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,224
- 3,960
Alilewa sifa huyoooo!!!
Angejifunza ma DJ wenzake Euro na US wanavyomake bingo! Nadhani maujanja na elimu ni sifuri hapooo
John hakuwai kulewa sifa ata siku moja..kutomskia kwako mda mrefu usiumbe maneno,alikuwa na project za ukweli nje kabisa ya mziki...na nna uhakika kwa sasa ndio Dj mwenye mkwanja mrefu zaidi hapa EastAfrica..
Yani jamaa ni level nyingine kabisa usipime.
Na kuhusu shule yake kwa kweli ni ndogo sana na ndio maana ata alipoacha kuendelea na shule enzi izo Manzese Morogoro,akakimbilia kwa baba yake(mkimbizi) south africa kila mtu alimpuuza lakini hapo ndipo exposure yake inayompa maisha alianza kuijenga..