Mkakati wa Wahaya kwa Wachagga

Mkakati wa Wahaya kwa Wachagga

Ta Muganyizi

R I P
Joined
Oct 19, 2010
Posts
5,355
Reaction score
2,739
Wajameni wahaya wa kiume popote mlipo hakikisheni kwenye masuala ya Ma lovee mnadeal na wadada wa kichagga. Wanataka kujisahahu kidogo...ikiwezekana wapreginantini (msisahau buhaya technology katerer.....0)vya kutosha tutengeneze hybrid moja bab kubwa ikiwemo na balance of power. Kuna sababu nyingi under carpet kwa nini iwe hivi. Wenzangu watanisaidia japo mie nitaeleza moja ya kuchekesha. Na nyie kina dada, fanyeni na wachagga vya kutosha warushieni ma water mpaka wapagawe na ikiwezekana zaeni nao si majua wako handsome kimtindo!!/,, meno meusi yasiwatishe maana si wote.

Sasa naeleza sababu moja tena haina mashiko mwenye sababu nyingine......ataeleza hapa MMU.

Ukikuta dada wa kichagga amekaa ukaona sura unaweza ukaonga na kuongea maneno mengiiiiiiiiiiiii ili umpate ila ngoja simame sasa miguuu..yeluuuuuuuuuuuwwwwiiiiiiiiiiii balaaa utadhani mtu amesimama upside down yaani kapiga soti.(tehthethetehthetehte) Ukija kwa ndugu zangu kabisa wadada wa Kihaya.............ukiwa kwenye gari huku dada wa kihaya yuko mbele yako anatembea......ukiona miguuu yaani inashepu nzuri kweli unaweza kuingiza hata gari mtaroni ila saasa ngoja ageuke........looooohhhh sura inakuwa ya kigumashi........(tehethtehetehetehje)

Sasa ili tubalance product hizi tuzingatie hayo juu...............tutengeneze hybrid moja amabayo mbeleni itakuja kusaidia mambo memngi.

Naishia........hapo wadau.

Ta Muganyizi
 
Na sisi wakukurya tugegedane na wa kabila gani?

Nyie inabidi mtafute kabila la wapole...ili mbalance mihasira yenu.........prefarably WAfipa atokako Prime wetu Pinda......maana wapole hadi wanaliaga
 
mmmh sijawai kudate muhaya,even nilishakaa uhayani kwa kipindi kirefu sana. sikupenda uhaya hata home walikuwa wanaongea kihaya ato z ila mimi hata neno moja sikuwa na time nacho
sijawai kuwatamani hata
so mimi nadhani hili gemu halinihusu meen..
mambo ya kudanganywa nitapelekwa lunch mbinguni sitaki
nachukia uongo kuliko chochote
 
Vipi Mzaramo!
 
Kwani wewe kabila gani???
 
sasa itakuwaje kama hiyo hybrid itakuwa tofauti na ulivotegemea? yaani akawa na reception ya kihaya halafu akawa na miguu ya kichaga...hapo itakuwaje Ta Muganyizi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom