Mkakati wa Wahaya kwa Wachagga

Mkakati wa Wahaya kwa Wachagga

Nipo hapa mchaga,haya mhaya wa kike asogee pande hizi please
 
Mkulu kama kazi yenyewe itakuwa ni kufyatua HYBRID VIGOR si itakuwa balaa!!! Watu wengine watawakimbilia na kuwachukua mfano: Nasikia ndugu zetu Wasukuma wanapenda Wanawake weupe, sasa ukichanganya weupe na miguu si ndio jamaa watatoa Behewa zima la ng'ombe kama posa; sasa si ndio wanaume wa Kichaga na Kihaya watahachwa kwenye mataa.
 
mkuu mimi ninabisha.binti wa kichaga akikupenda basi jua amekupenda kweli,na akiamua kukuchuna anakuchuna kweli,tatizo ni matairi yao tu



Lol, I still don't believe in them. Samahani ila I never take them seriously katika mapenzi. Matairi pia ni tatizo na meno, pamoja na ukeketaji wa wasichana wao.
 
Wee acha aisee kule ni mchanganyiko na wahaya kibao..........watoto wa Morogoro.........wanyiramba..........yaani wala usiseme labda kama ulienda rombo pekee pale Shekilango hapo kweli wapo


Mkuu, unawawinda nini? Duh maana naona una list ya mitaa yao pia. Unatisha!
 
acheni tu kuna kaka yangu anaoa mhaya mwezi ujao na sisi ni wachaga yaani hapa home ni gumzo sijui hata tutaishi nae huyu shemeji yetu maana hatujwahi kujua hata historia za wahaya mara watu wanatutisha kuwa wanahuruma sana kwenye chakula cha usiku kwa hiyo tutarajie kila mmoja atagaiwa jamani! acheni tu hofu imetawala mwenye mali sasa ndio kafika hana habari kabisa.
 
Kaka mbona umeamua kuwa mbaguzi namna hiyo?? haya bana mie mnyankole niibukie wapi?/
 
acheni tu kuna kaka yangu anaoa mhaya mwezi ujao na sisi ni wachaga yaani hapa home ni gumzo sijui hata tutaishi nae huyu shemeji yetu maana hatujwahi kujua hata historia za wahaya mara watu wanatutisha kuwa wanahuruma sana kwenye chakula cha usiku kwa hiyo tutarajie kila mmoja atagaiwa jamani! acheni tu hofu imetawala mwenye mali sasa ndio kafika hana habari kabisa.

Kaka wako poa sana na muulize broda wako akwambie kilichomvutia. We umewahi kuona human being ana chemichemi..........huyo ndo Mhaya
 
Ndugu umekuja kwania ya kuwaponda wachaga tu hapo hujaja na hoja ya maana. Nani alikuambia wachaga wanataka kubalance? tena na wahaya? hivi mtaacha lini hayo majigambo yenu? Mnajiita mahandsome? Weusi tiiiiiii kama Waganda. Pesa ndo inakufanya uwe handsome.
 
Ndugu umekuja kwania ya kuwaponda wachaga tu hapo hujaja na hoja ya maana. Nani alikuambia wachaga wanataka kubalance? tena na wahaya? hivi mtaacha lini hayo majigambo yenu? Mnajiita mahandsome? Weusi tiiiiiii kama Waganda. Pesa ndo inakufanya uwe handsome.

Kwa psychology kidogo una inferiority complex. Nani kapondwa na nani kasifiwa? Soma vizuri.......na kwa hamaki hii inaonekana we mchaga na una all features mentioned
 
Wajameni wahaya wa kiume popote mlipo hakikisheni kwenye masuala ya Ma lovee mnadeal na wadada wa kichagga. Wanataka kujisahahu kidogo...ikiwezekana wapreginantini (msisahau buhaya technology katerer.....0)vya kutosha tutengeneze hybrid moja bab kubwa ikiwemo na balance of power. Kuna sababu nyingi under carpet kwa nini iwe hivi. Wenzangu watanisaidia japo mie nitaeleza moja ya kuchekesha. Na nyie kina dada, fanyeni na wachagga vya kutosha warushieni ma water mpaka wapagawe na ikiwezekana zaeni nao si majua wako handsome kimtindo!!/,, meno meusi yasiwatishe maana si wote. Sasa naeleza sababu moja tena haina mashiko mwenye sababu nyingine......ataeleza hapa MMU.Ukikuta dada wa kichagga amekaa ukaona sura unaweza ukaonga na kuongea maneno mengiiiiiiiiiiiii ili umpate ila ngoja simame sasa miguuu..yeluuuuuuuuuuuwwwwiiiiiiiiiiii balaaa utadhani mtu amesimama upside down yaani kapiga soti.(tehthethetehthetehte) Ukija kwa ndugu zangu kabisa wadada wa Kihaya.............ukiwa kwenye gari huku dada wa kihaya yuko mbele yako anatembea......ukiona miguuu yaani inashepu nzuri kweli unaweza kuingiza hata gari mtaroni ila saasa ngoja ageuke........looooohhhh sura inakuwa ya kigumashi........(tehethtehetehetehje) Sasa ili tubalance product hizi tuzingatie hayo juu...............tutengeneze hybrid moja amabayo mbeleni itakuja kusaidia mambo memngi. Naishia........hapo wadau.Ta Muganyizi
katero inataka wadada ambao hawajabemendwa mbona wanawake wakichaga wamebemendwa?
 
Mkuu we acha tu...............hii ni tenda maalum


Angalia bwana usije ukawapa maradhi watoto wa wenzio. Usikasirike kwani nakuambia hivi kwa sababu kuna jamaa hapa Kawe (MayFair) alikufa na ngoma majuzi tu baada ya kuugua muda mrefu. Huyu jamaa anajulikana sana Kinondoni, Kawe, na Mbezi, na kabla ya kifo chake, alikuwa hivi hivi. Aliwinda sana mademu karibia kila kona na inasemekana alikuwa anachapa hata mademu watatu kwa siku, ila sijajuwa kama alikuwa anajikinga....jamaa alivyojijuwa ni mgonjwa (ukimwi) hakujali sana maisha na akawa dege la jeshi kishenzi. Je, wewe unawawinda kivipi?
 
Back
Top Bottom