Aha haa haaa, mwenzenu nilishadaka mdada wa kihaya kitambo .. nw siambiwi sisikii, navuta ndani mazima on Oct. na kama MUNGU hatajalia mapacha wanne ... mkataba ni kuzalisha WACHAGA chotara 3! Mmmh, ila wahaya mpo vizuri ....
Ni kweli watu wengi hawajui wanadhani kila anayetoka mkoa wa ziwa magharibi(kagera) ni muhaya kumbe kuna wanyambo ndo wengi ni warembo! Afu eti hii mijamaa(mihaya) inanishangaza hela hata ikiwa shilingi mia wanaita MAHELA na wakati huku kwetu Musoma ukisema MAHELA means fedha nyingi hadi za kuhonga wahaya,lakini wahaya walisusa kabisa kuoa ukuryani hivi hivi kwa sababu ya kushindana Kiswahili,MUHAYA: nimempenda binti yako Bhoke nataka kumuoa,BABA MKWE MKURYA: subiri vijana wangu waje tukubikirie(tukufikirie) kwanza ndo utaweza kuoa,MUHAYA: what? Muhaya kaingia mitini.Afu nasikia eti wahaya walikuwa tayari wametekwa na Idd Amin Nyerere akapeleka majeshi ya wakurya kuwarudisha kuwa watanzania,afu nasikia eti wahaya zamani walikuwa vijakazi wa wakurya wakichunga ng'ombe na mbuzi hadi hapo wazee wa kimira wa kikurya waliamua kuwapa INDEPENDENCE na kuwapa jina NSHOMILE! Wataniiiiii!!!! Hawa kwa misifa eti walishawahi kupata lunch MBINGUNI! Mazuri yooote ya kwao.
Muganyizi, alafu ujue umeniudhi sana mtani,kwanini utangulize neno Ta hapo kwenye jina lako,kwa kikwetu wakurya mtoto akikuita Ta Muganyizi ni kifupi cha baba Muganyizi tabia yako mbaya kaipake rangi!
Sawa mkuu.............plan nzuri sana hiyo....mpe hi Sister angu huyo. Muulize ntongo anakula?
wabona eh..., akishakeketwa katerero hainogi kabisa...., wa nin sasa huyo. tupa kule!!!!we nawe umekuja na yako mtani. Sie hatuoi kwenu sababu ya`kukeketana
in-fwakti ta muga umetoa haidia nzuri, sisi tuchukue color na fwace nzuri na wao tuwaongezee miguu kidogo.., kitatoka kitu cha ukweli sana kama cleopatra..
wabona eh..., akishakeketwa katerero hainogi kabisa...., wa nin sasa huyo. tupa kule!!!!
kaka nimesoma hapa hadi nikasituka.Nyie inabidi mtafute kabila la wapole...ili mbalance mihasira yenu.........prefarably WAfipa atokako Prime wetu Pinda......maana wapole hadi wanaliaga
Somoe mara nyingi wanakuaga ni jamii ya wamakonde. Unaweza ukawa na asili ya kile kijiji yalipoanzia maandamano ya kudai gesi ibaki mtwara.
Mimi nimeoa mhaya -ana mguu, shape na reception ya nguvu -sasa sijui huyu wa kwangu hii reception kaipata wapii au niliuziwa mbuzi kwenye gunia???