Kamende
JF-Expert Member
- Mar 1, 2008
- 416
- 45
..Taarifa za uhakika tulizo nazo ni kwamba kuna mkakati maalum wa kumbambikizia kesi ya madawa ya kulevya Mhe. Godbless Lema mbunge wa jimbo la Arusha Mjini.
Katika mkakati huo watu wasiojulikana watamwingiza mke wa Mhe. Lema katika biashara bila kujijua na hatimaye kumfikisha mahakamani ambako itambidi mbunge Lema awe busy na kesi na kupunguza muda wake wa kupambana na serikali.
Lengo la mkakati huo pia ni kuuonesha umma kuwa Lema si muadilifu mbele ya jamii anamojigamba kuwa mtetezi wake. Lakini mwisho wa yote watataka kufanikisha hata kumfunga Lema gerezani ili iwezekane kumwondoa kabisa katika siasa za Tanzania.
Mkakati huu umekuja ndani ya mpango wa kuwanyamazisha wote wanaopiga kelele dhidi ya Ufisadi unaoshika kasi serikalini.
Msishangae kusikia watu wakiuawa mmoja baada ya mwingine