Mkakati Wa Kuchangia WanaArusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkakati Wa Kuchangia WanaArusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Yona F. Maro, Jan 6, 2011.

 1. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #1
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Mkakati wa Kusaidia WanaArusha .


  Tunapenda kuwafahamisha kwamba FOS Imeanzisha Mkakati wa Kuchangia WanaArusha waliopata Shida kwenye Maandamano ya Wafuasi wa CHADEMA na Viongozi wao .


  Kwa sasa namba zitakazotumika kwa michango ni
  ZAP – 0786 806028
  MPESA – 0766334049
  Email : friendsofslaa@gmail.com


  Ni vizuri ukaweka na jina lako kwenye mchango wako kama utapenda liwepo kwenye kumbukumbu .


  Tunashukuru sana kwa wale wote wanaoendelea kutoa msaada wa hali na mali kwa FOS katika kutekeleza majukumu yake .


  Mwanzo wa wiki Ijayo wawakilishi wa FOS toka Dar es salaam watakuwa Arusha kwa ajili ya Kuona Majeruhi Na kuendelea na jitihada za majadiliano .


  Tembelea www.naombakazi.com Kwa Nafasi za kazi Kila siku

  Tembelea Wanabidii | Google Groups kwa Majadiliano Moto Moto
   
 2. n

  nyantella JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45

  As long as chadema inongozwa na viongozi vichwa maji michango itaendelea tu. Afadhali mzee makani angeendelea kuwa mwenyekiti pamoja na uzee wake. chama kilikua hadhi yake lakini hawa wa sasa tegemeeni maafa tu. hapatakuwapo amani tena humu nchini Slaa the count is on wala usiilaumu serikali na usiwaite hao marehemu mashujaaa ni kuakebehi! hao ni wahanga wa Slaa na Mbowe mtakataa lakini ukweli utabaki hapo hapo Polisi wanatii amri nyiwe wapellekeni tena hesabu iendelee kukua>
   
 3. K

  Kiwete JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 281
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  Hakika hujui usemalo.Kwa kuwa unanufaika sasa,sema utakalo.
   
Loading...