Mkakati Namba 3 dhidi ya CHADEMA; Polisi kundi hili ni hatari

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Wakuu, msomi moja alipata kusema kwenda shule ni kitu kimoja, na kuelimika ni kitu kingine. Kuishi ni kitu kimoja, na kufa ni kitu kingine. Wakuu usemi huu unanifanya nitafakari uhuni mbaya wanaoufanya wasomi wetu akina Zitto na Kitila kwa kuiwakilisha ccm kutengeneza mbinu ovu ya kuichafua chadema kuihusisha na utekaji ama mauaji kabisa. Tunashukuru katika mikutano yao wakati wanatengeneza sms za vitisho kwa viongozi, mmojawao alikuwa mzalendo akatutumia sms hii bila wao kujijua, na hivi tunavyoongea wapo mtamboni busy wakitafuta mbinu za kinyama dhidi ya chama hiki ambacho ni tumaini la watanzania. Msinichoshe nisiwachoshe, story yenyewe hii hapa chini;

" Sasa ule mpango wa kuwaangamiza MADINDA, YONA, MUKI, NDEVU, ALELUYA, MWAKALASYA na MAMA FILIPA, umekamilika, dawa ni kuwachinja watu watatu, ambao ni MADINDA, YONA na FILIPA, hata ikiwezekana BULA LONGO naye apigwe makamanda wamesema wako tayari, Lengo tuwaue tu, Bila kuwaua hatufanikiwi, tuwakutanishe wote kwa pamoja bila kujitambua, then tuwapoteze, kwani wao ndiyo wanatubania tusifanikiwe CHADEMA TEMEKE, matusi ya Madinda unayajua SAGATI, na anapata jeuri na kutusumbua kutoka kwa hao watu, Kwanini kila siku TEMEKE ni MADINDA, YONA FILIPA na BULA? Hamza, Sina, na Mwasiti ni wasili."
Hiyo msg imetengenezwa na kundi hilo. Wanataka kutisha watu ionekane kwamba CHADEMA ndiyo inapanga njama hizo! Wakati wao wenyewe ndiyo wanataka kujifanyia.

Wanataka hiyo msg isambae ili viongozi wa chama pale Temeke au kokote itakakotumwa msg hiyo wakamatwe!
Itakumbukwa ndiyo mkakati ule ule uliotaka kutumika wakati ule aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA (kabla hajafukuzwa) alipookotwa usiku akiwa amepigwa!

Walifungua jalada wait aka viongozi fulani pale Temeke wakiwemo pia viongozi wakuu wafunguliwe kesi na kuendeleza hila za kuharibu image ya chama kwa matukio ya kupangwa kama hayo!
 
this is too much, sheria inabidi ichukue mkondo wake kwa manyang'au ya ACT na washirika wake, siasa za tanzania zinazidi kuwa za maji taka kabisa, mbinu zote hizo ni kutaka kuiteketeza CHADEMA?????????????, to hell with that evil mission.
kamwe mipango yote mufilisi haitawezekana,

isitoshe kwenye chama cha siasa haiwezekani kila mwanachama akawa KAMBALE jamani, yani kila mwanachama awe na sharubu, teh teh, haiwezekani kabisa
 
Tulishawaambia hawa tutalala nao, tutaamka nao, na kila wakipumua sisi kszi yetu ni kuhesabu pumzi zao,

Kila hila tutaudhibiti, iwe usiku ama mchana, kiangazi ama masika, iwe angani au ardhini, na hata majini,

Hawa wahuni tunao tu mda wote mpaka waombe pooo!
 
Wakuu, msomi moja alipata kusema kwenda shule ni kitu kimoja, na kuelimika ni kitu kingine. Kuishi ni kitu kimoja, na kufa ni kitu kingine. Wakuu usemi huu unanifanya nitafakari uhuni mbaya wanaoufanya wasomi wetu akina Zitto na Kitila kwa kuiwakilisha ccm kutengeneza mbinu ovu ya kuichafua chadema kuihusisha na utekaji ama mauaji kabisa. Tunashukuru katika mikutano yao wakati wanatengeneza sms za vitisho kwa viongozi, mmojawao alikuwa mzalendo akatutumia sms hii bila wao kujijua, na hivi tunavyoongea wapo mtamboni busy wakitafuta mbinu za kinyama dhidi ya chama hiki ambacho ni tumaini la watanzania. Msinichoshe nisiwachoshe, story yenyewe hii hapa chini;

" Sasa ule mpango wa kuwaangamiza MADINDA, YONA, MUKI, NDEVU, ALELUYA, MWAKALASYA na MAMA FILIPA, umekamilika, dawa ni kuwachinja watu watatu, ambao ni MADINDA, YONA na FILIPA, hata ikiwezekana BULA LONGO naye apigwe makamanda wamesema wako tayari, Lengo tuwaue tu, Bila kuwaua hatufanikiwi, tuwakutanishe wote kwa pamoja bila kujitambua, then tuwapoteze, kwani wao ndiyo wanatubania tusifanikiwe CHADEMA TEMEKE, matusi ya Madinda unayajua SAGATI, na anapata jeuri na kutusumbua kutoka kwa hao watu, Kwanini kila siku TEMEKE ni MADINDA, YONA FILIPA na BULA? Hamza, Sina, na Mwasiti ni wasili."
Hiyo msg imetengenezwa na kundi hilo. Wanataka kutisha watu ionekane kwamba CHADEMA ndiyo inapanga njama hizo! Wakati wao wenyewe ndiyo wanataka kujifanyia.

Wanataka hiyo msg isambae ili viongozi wa chama pale Temeke au kokote itakakotumwa msg hiyo wakamatwe!
Itakumbukwa ndiyo mkakati ule ule uliotaka kutumika wakati ule aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA (kabla hajafukuzwa) alipookotwa usiku akiwa amepigwa!

Walifungua jalada wait aka viongozi fulani pale Temeke wakiwemo pia viongozi wakuu wafunguliwe kesi na kuendeleza hila za kuharibu image ya chama kwa matukio ya kupangwa kama hayo!

Hahaha jaman kila wanachofanya wanakosea tuu....soon watakuwa vichaa tu!! Kumbukumbu lao litapotea mara na hawatakumvukwa tena!!!
 
Mkuu Crash, tafadhari naomba ufafanuzi kidogo maana haya majina naona ni mageni kwangu(pengine na wengine)!!

Na huyu SAGATI ndo nani?

Hizi siasa za Bongo sasa imekuwa noma ila HAWATAFANIKIWA!!

Hivi hawa ndio wameanzisha chama na wanasema tunataka siasa za kistaarabu!? Ngoja Makamanda waingie kazini!!
 
HUU HAPA MKAKATI MWINGINE WA KUIHUJUMU CHADEMA UNAORATIBIWA NA MASALIA

Hii hapa ni sehemu ya sms imeonaswa na intelegensia ya CHADEMA,ikitoka kwa watu wanaodaiwa kuwa nyuma ya mkakati wa kuihujumu CDM,watu hao wanatokea Kibaha na Mbeya na wote 2010 waligombea ubunge,intelegensia ya chama inajaribu kuchunguza ukwe wa message hii,kwa kangalia je wanadhamira ya kutekeleza walichookiandika kwenye message hiyo,lengo likiwa ni kutaka kuihusisha CHADEMA na kuichafua kwa tuhuma mbaya kama hizo,ama lengo lao ni kutaka kuwaingiza mtegoni watu wa CHADEMA wanaowatumia smc ili baadae watengenezewe kesi ya mauaji iwapo yatimizwa hayo yaliyoandikwa ndani ya smc hii,watu hawa wanaendelea kufanya hujuma ndani ya CDM wakifahamu kwamba si wanachama tena wa CDM kwani kwa sasa ni wanachama wa chama kipya cha ACT na wengine wapo CCM"
makamanda siomeni ujinga huu,tunauita ni mchezo mchafu ulioandaliwa na watu ambao bado hawajakomaa kwenye masuala ya kikachelo na kiintelegensia,kwani baadhi ya watajwa kwenye ujumbe huu wa maandishi ni watu wao ndani ya ACT,walishafukuzwa ndani ya CDM hivyo wanataka kuuamnisha umma kwamba CDM inataka kuwadhuru.message yenyewe hii hapa chini,ukimaliza kuisoma plz isambaze kwa makamanda wengi ili kila mmoja ajue na wasiingizwe mtegoni.

"Kamanda uko pouwa? Sasa ule mpango wa kuwaangamiza MADINDA, YONA, MUKI, NDEVU, ALELUYA, MWAKALASYA, na MAMA FILIPA, umekamilika, dawa ni kuwachinja watu watatu, ambao ni MADINDA, YONA, na FILIPA, hata ikiwezekana BULA LONGO naye apigwe, makamanda wamesema wako tayari, Lengo tuwaue tu, Bila kuwaua hatufanikiwi, tuwakutanishe wote kwa pamoja bila kujitambua, then tuwapoteze, kwani wao ndiyo wanatubania tusifanikiwe CHADEMA TEMEKE, matusi ya Madinda unayajua SAGATI, na anapata jeuri na kutusumbua kutoka kwa hao watu, Kwanini kila siku TEMEKE ni MADINDA, YONA FILIPA na BULA? Hamza, Sina, na Mwasiti ni wasili."
 
Hivi hawa watu kwanini wanafatilia mambo ya CDM wakati hawatakiwi na tayari wameshafukuzwa ? Only God will stop CDM not those mediocres.
 
Tulishawaambia hawa tutalala nao, tutaamka nao, na kila wakipumua sisi kszi yetu ni kuhesabu pumzi zao,

Kila hila tutaudhibiti, iwe usiku ama mchana, kiangazi ama masika, iwe angani au ardhini, na hata majini,

Hawa wahuni tunao tu mda wote mpaka waombe pooo!

wananchi tupo nyuma yenu nusu ya kadi za chama chao tutukuwa nazo
 
Tulishawaambia hawa tutalala nao, tutaamka nao, na kila wakipumua sisi kszi yetu ni kuhesabu pumzi zao,

Kila hila tutaudhibiti, iwe usiku ama mchana, kiangazi ama masika, iwe angani au ardhini, na hata majini,

Hawa wahuni tunao tu mda wote mpaka waombe pooo!

Hawa watu wanaakiki ndogo sana yana unaenda kuuwa watu alafu unaandika kabisa et fulan!

Alafu unataja na njia za kuulia ha ha ha !
 
cdm wana kazi ya ziada..watu wameamua kufanya uovu sasa..inabidi pia kuwa makini..maana wakipanic sana..wanaweza hata kuuwa watu kweli..
 
Back
Top Bottom