Mkakati Namba 3 dhidi ya CHADEMA; Polisi kundi hili ni hatari

Hapo Mwanzo Kabla Sijaelewa Vizuri Nilikuwa Mfuasi Wa A C T Kwasababu Ya Zitto Lakn Kadri Cku Zinavozidi Kusonga Nawaona Kama Wanafiki Tu.!
 
Kamwe giza haliwezi kushindana na NURU,hila zao za ibilisi zitakwenda kushindwa mchana kweupe na hakika wataumbuka!!
 
wanakosea kitu kimoja vita ya cdm sio ya damu na nyama bali ni ya ulimwengu wa roho juu ya wachawi,washirikina ntarahamwe nk,anayepigana vita ya kiroho amemtanguliza mungu anayepigana vita ya damu na nyama amemntanguliza shetani lini shetani akamshinda the living God?
 
Siasa imevamiwa na watu wasiojatambua,wengi wao wakiwa vijana wa CDM wamekua kama watu waliojiajiri katika biashara ya bodaboda,kutunga tunga uhongo tu bila sababu za msingi!hawana nidhamu ata kidogo,SIASA sio UHASAMA ni upuuzi kufanya siasa ni vita na CHUKI
"Ex Tanzania Simper Novel"
 
Kwel CDM tuna kibarua cha ziada! upande chama cha mafisadi (ccm) upande Angalia Chatu Taahira (ACT) bado mapoliccm! jaman ila inaonesha ni jinsi gani crew yetu inatisha i mean cdm. pole kwao hadi waishiwe ya kusema achilia mbali kupanga

Ha ha hapo pa Angalia Chatu Tahira noma huo mda wanaopanga kuungamiza upinzani wameshndwa kufikiria nini kifanyike na kutukwamua na umaskini hawajui kuwa mabadiliko hayazuiliki popote pale duniani ina onyesha thinking capacity yao ni shda na uovu hushtukiwa mapema
 
Nyie cdm chumbani acheni mambo yenu ya kisenge.

Sisi wote ni wapenda mabadiliko na tumefuasia cdm sana, lakini mambo ya kumonopolise madaraka hatutaki.

Kila mtu mwenye Akili timamu Anajua kuwa mbowe na slaa wamechoka wanatakiwa wawapishe wengine, hata kama sio zito.

Kitendo chao cha kukomaa madarakani kwa faida ya matumbo yao haina faida kwenye chama.

Mtakaaa kuzusha mambo ya kipumbavu dhidi ya wenzenu na chama kinazidi kufa.

Na ninataka niwaambie Kwamba mmetusababishia matatizo makubwa sana sisi watanzania wapenda mabadiliko tuliokuwa na matarajio kupitia cdm, kwa sababu hilo haliwezekani tena.
 
Unajua ccm na ACT wanacheza mchezo wa Abunuwasi kabisa hivi wanapambana na mpango wa Mungu? Hivi Mungu anataniwa? Chadema ni Mpango wa Mungu na watabaki wakiumbuka usiku na Mchana hivi hawaoni aibu kubwa sana? Tumeanza namungu tupo na Mungu na tutamaliza na Mungu wao wanapesa sisi tuna Mungu
 
wanatwanga maji kwenye kinu.......CDM ni mpano wa Mungu kuwakomboa watu wake toka kwa chama cha kifedhuli CCM na vibaraka wake
 
Duu CDM kimekuwa ndio kama chama tawala, maana hata Dola hakijachukua lakini kinapigwa vita na CCM pamoja na vyama vingine vya upinzani
 
Back
Top Bottom