Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA

Andaa dokezo la kumtimua huyo Fisadi kutoka chamani
 
Bavicha at their best, haumtaki lowassa ila unataka chadema ishinde urais kupitia lowasa, dah!
 
HATA HIVYO HAMUON NCHI ILIVYOFILISIKA KWASABABU YA KUMDHIBIT LOWASA. JESHI HAZINA HATA MASANGOMA YALILETWA. JAMAA KULE KUZOMEWA IKABID KWA UWOGA KUKATAZA MIKUTANO YA SIASA
 
Povu la nini.....hata hivyo mapovu hayaondoi unafiki wa kiwango cha juu ulionao
 
Usijitie upofu usiokuwa nao Mkuu, sijawahi kubadili kumuita fisadi Lowassa kabla ya kuja CHADEMA na hata baada ya kuja CHADEMA. Kama kuna ushahidi wa wewe kuweza kuthibitisha hilo uliloandika basi uweke ushahidi huo hapa jamvini. Umewahi kutafuta mabandiko yangu humu kuhusu Lowassa, je kuna mahali popote ambapo nilibadili msimamo wangu kuhusu Lowassa. USIKURUPUKE Mkuu Lowassa kwangu mimi bado ni fisadi tu hata arembwe vipi.

 
Ndiyo tatizo la watu Wap.unbavu kama wewe la kuhitimisha kitu bila ya kuwa na ushahidi wa kuthibitisha hitimisho lako. Weka ushahidi hapa BAK uliandika hivi, halafu hapa ukabadili gia na kuingia kwenye kundi la Lowassa. Hakuna kitu kama hicho jifunze kuandika kwa kuwa na ushahidi husika badala ya KUKURUPUKA.

Povu la nini.....hata hivyo mapovu hayaondoi unafiki wa kiwango cha juu ulionao
 
Mbona sijafukuzwa wewe punguani!? Acha kuonyesha utaahira wako wa kuandika vitu ambavyo havipo. Msimamo wangu kuhusu fisadi Lowassa unajulikana ndani ya chama hakuna hata mmoja aliyethubutu kunitaka nirudishe kadi ya uanachama au kunivua uanachama wangu ndani ya CHADEMA. Acha kuandika vitu vya kusadikika.

Masikini.....na hivi chama chenu ni cha kifashist huna hata pa kupeleka mawazo zaidi ya hapa JF......

Na ukijaribu kuzungumza haya kwenye vikao vyenu vya Chama utaishia kufukuzwa kama mbwa koko.
 
Unavyojibu kihasira hivi ndio inathibitisha jinsi mada inavyookuumiza kumoyo.

Wewe kama CDM ambaye unaona ufisadi wa moja kwa moja wa EL umechukua hatua gani za makusudi hata za kuwaelekeza CDM wenzio humu JF juu ya ubaya kwa siku za hivi karibuni.


Nasubiri majibu yako ewe mnafiki BAK.
 
Wewe ni mmoja wa watu wasiokuwa na aibu.
 
Mkuu huyu jamaa. Ndio eti makamanda wa chadema , yaani hawana msimamo kama Bendera ya kimasai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…