Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA

Kwa coments hizi za mashabiki wa UKAWA, nmeamini hata familia zao hawawezi kuzisimamia!!!


Mwanaume utakosaje msimamo??


Hakika watoto na wake zenu wana kazi sana!!
 
Mbona unamvunjia heshima mgombea wetu wa Chadema.

Hakika mmetukamata. Tupo mateka. Andiko la December 2014 leo limeibuliwa na kutupiga za uso. Nimempongeza Mchunguzi Huru kwa andiko lake. Yametimia. Kumbe kweli hakuna lisilowezekana chini ya jua. Kuweka akiba ya maneno ni hazina kubwa
 
Lowasa ni jizi, limeniibia mijihela, ila naogopa kwenda polisi kumshitaki nitafungwa mimi..... negative mind
 
Lowasa hapendwi na wafuasi wa Vyama vya upinzani isipokua alipewa nafasi hiyo kwa kuinunua kwa baadhi ya viongozi wa ukawa ambao wanatamaa ya pesa.
Kila mtu anajua kua huyu bwana ameinunua nafasi hii kwa ukawa ndio maaana watu wenye akili zao timamu wameamua kujiengua kwenye mchakato huo wa kumpa support fisadi huyo na kuwaachia mzigo wao huo usiobebeka.Inashangaza kuona CCM inawafukuza mafisadi hao na kuwafuta uanachama ila ukawa wamekua wakiwapokea na kuwapa nafasi za juu kwenye umoja wao unaoundaukawa sasa wakipewa nchi si itakua hatari sana,hivi umeshawasikia tangu wampokee fisadi huyo wakiongelea masuala tena ya ufisadi? wanaona aibu maana ukitaja mafisadi katika nchi hii huwezi acha kumtaja nguli wa mafisadi Tanzania ambaye ni lowasa,unafikiri watanzania ni wajinga kwamba hawaoni usanii huu unaofanywa na baadhi ya viongozi wa juu wa ukawa?.
Vijana wenzangu nawasihi tumuogope sana huyu adui wa maendeleo ya nchi yetu maana vijana dio tutakaoumia tukishikamana kwa pamoja tutaikomboa nchi yetu TANZANIA.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU IBARIKI CCM
MUNGU MBARIKI DR. JOHN POMBE MAGUFULI
#HAPAKAZITU
 

kaka labda mungu uyu! Lakini MUNGU HUYU alisha ilaani ccm ndio maana inanuka kama kinyesi mbele za watu,
 
Tatizo ni nini? Huyu mtu katoka CCM kimya kama kawaida yake bila kujibu mashambulizi. Kea nini nyie watu msielekeze nguvu zenu kunasdi sera za chama chenu? Midahalo itakuepo itumieni kumuuliza yote mnayomtuhumu. Tuache majungu.
 
CCM inanuka kama kinyesi ni Sawa lkn Lowassa ni kama manukato?

Jiandaeni kazi inaanza Leo ndo hapo mtakapojua watanzania hawadanganyiki kwa kununuliwa
 
Viomgozi wachache wanatuchanganya kwa maslahi yao au na nyie mpata mafungu?,,Ukweli wa hili linakuja kwani haya yanasemeka hawajayakana wahusika tuweni macho.
 
Hii mada ilianzishwa mwaka jana, inaonekana plan B ya edo ilijulikana toka mda mrefu,

Hii nafasi ameinunua kwa pesa nyingi na hataki kuipote

Na kwa sabb pia hataipata, inampango wa kuuwa upinzani
Hvyo wakati edo atakuwa anaenda kupumzika monduli ukawa itakuwa inaenda kuzikwa moshi...

May b tutabaki na act.....
Ila ukweli ni kuwa edo hawezi kuwa rais wa tz may b mawe yapige kura..
 
CCM inanuka kama kinyesi ni Sawa lkn Lowassa ni kama manukato?

Jiandaeni kazi inaanza Leo ndo hapo mtakapojua watanzania hawadanganyiki kwa kununuliwa

Mkuu nakubaliana nawe ccm inanuka, je alisema kuwa anaemuunga mkono edo akipimwe akili akikuwa ana maana na wewe umo?? Huyo ni mnyika...

Wakati mwingine msitake kutufanya hatuna ufahamu
Edo ni mwizi, fisadi, na kila aina ya ubaya,... sasa mbona hamsemi mkapimwe akili??

Ndiyo maana dr na profesor wamejiweka kando, waliobaki wote ni kama ma..zo..mb
 

Tumeshapimwa na tunampa kura zetu...
Mwaka huu utajua zombie ni nani?
 

Mkuu upo? Hebu tupe taarifa zaidi .. hivi Dr Slaa pia alihusishwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…