MKAKATI DHALIMU: CCM wanataka CHADEMA wasimuamini Zitto Kabwe

MKAKATI DHALIMU: CCM wanataka CHADEMA wasimuamini Zitto Kabwe

Kwa sasa sio msaliti tena, nyumbu bhana

hao nyumbu ukiwakumbusha hilo...wanaangalia chini

tulishinda tunamtetea zitto humu na tukatukanwa sana, zitto kasimama tu na kanyooka!

wao ndo wananunuliwa

CDM iliharibu, ishapotea
 
Nyumbu mamako!

kakugusa lazima,umeambiwa wewe nyumbu, ila ukaona mama yake....kwani mama yale alimfukuza zitto na leo kamkumbatia?

anayeonyesha TZ kuna upinzani kwa sasa ni zitto
 
hao nyumbu ukiwakumbusha hilo...wanaangalia chini

tulishinda tunamtetea zitto humu na tukatukanwa sana, zitto kasimama tu na kanyooka!

wao ndo wananunuliwa

CDM iliharibu, ishapotea
On every action there is an equal and opposite reaction, Mbowe anatamani achumu kifua cha Zitto
 
kakugusa lazima,umeambiwa wewe nyumbu, ila ukaona mama yake....kwani mama yale alimfukuza zitto na leo kamkumbatia?

anayeonyesha TZ kuna upinzani kwa sasa ni zitto
Ananiitaje nyumbu mimi ? Zito ni mpinzani na mbowe ni mpinzani hakuna cha ajabu. Mahasidi ndo mnaleta fitina.
 
Chadema kwa sasa wanakikumbatia chochote kitakacho waletea kiki.
Haha umeishia kiki hadi unajilike mwenyewe daudi bashite umechacha kweli kweli sasa hivi mwendo wa Anthony Mataka wauaji kama bashite tupa kule
 
Haha umeishia kiki hadi unajilike mwenyewe daudi bashite umechacha kweli kweli sasa hivi mwendo wa Anthony Mataka wauaji kama bashite tupa kule
Nashindwa kuelewa kitugani umeandika.
 
Ni dhahiri kabisa CCM wameingiwa na hofu kubwa sana baada ya kugundua kuna uwezekano wa UKAWA kuimarisha wigo wa ushirikiano kwa kumjumuisha Zitto Kabwe na ACT yake.

Viongozi wa Chadema wamekuwa wakitamka na kufanya mengi ambayo more often than not yamekuwa construed kama “uchochezi, uvunjifu wa amani, kukiuka sheria, nk”. As a result, tumeshuhudia kamata kamata za uonevu mkubwa dhidi ya viongozi na wanachama wa chama hiki.

Wakati viongozi wa Chadema wakiwa wanapata treatment hiyo kutoka kwa CCM na serekali yake, imedhihirika kuwa Zitto hakumbwi na kashi kashi kwa kiwango hicho pamoja na ukweli kwamba huwa anatoa matamko ambayo mara nyingi yanakuwa even harsher kuliko hata ya viongozi wengine wa upinzani.

Mnyetishaji mmoja ndani ya Lumumba (ambaye inasemekana yupo CCM ya kina Nape, January, nk) ametoboa siri nzito kuwa huu ni mkakati mahususi wa kutaka kudhoofisha uhusiano unaoanza kuchipuka kati ya UKAWA (hususani Chadema) na ACT ya Zitto. CCM wamedhamiria kupandikiza mbegu ya mashaka kwenye mind ya viongozi wa Chadema eti wajiulize “ kwanini Zitto hafanyiwi kama sisi, lazima atakuwa anatumiwa na CCM kutuhujumu!!”

Chanzo: mnyetishaji ndani ya CCM (Lumumba).

My take:

UKAWA (Chadema in particular) msikubali kabisa kabisa kabisa njama hizi ovu za CCM za kuwatenganisha wapinzani kama walivyofanya kupitia kwa yule propesa Lipumba.
Umoja wa wapinzani wote (incl Zitto) ni silaha mojawapo muhimu sana katika kufanikisha crusade hii dhidi ya ukandamizaji wa demokrasia.
Ccm sasa ni mahututi
 
kuna haja muungano wa upinzani, taasisi zisizo za kiserekali na zile za kidini kuunganisha nguvu ya pamoja na kutuma delegation EU & US ili waishinikize hii serekali dhalimu itii haraka umuhimu wa kuwepo kwa independent NEC kabla ya chaguzi za 2019 & 2020.

Kwa kuwa US na EU ni bwana zako ukahisi na sisi tutawasujudia? We are free sovereign state.
Ujinga na ushoga wenu pelekeni huko.
 
kuna haja muungano wa upinzani, taasisi zisizo za kiserekali na zile za kidini kuunganisha nguvu ya pamoja na kutuma delegation EU & US ili waishinikize hii serekali dhalimu itii haraka umuhimu wa kuwepo kwa independent NEC kabla ya chaguzi za 2019 & 2020.
kwani ndugu yangu yale malalamiko Yenu ya Uchaguzi 2015 mliyoyapeleka ICJ yalifikia wapi!?? tena mkasema tusubiri Lowassa Muda wowote atatangazwa kuwa rais au sio nyie mliopeleka kwa hao wazungu!?
 
Ni dhahiri kabisa CCM wameingiwa na hofu kubwa sana baada ya kugundua kuna uwezekano wa UKAWA kuimarisha wigo wa ushirikiano kwa kumjumuisha Zitto Kabwe na ACT yake.

Viongozi wa Chadema wamekuwa wakitamka na kufanya mengi ambayo more often than not yamekuwa construed kama “uchochezi, uvunjifu wa amani, kukiuka sheria, nk”. As a result, tumeshuhudia kamata kamata za uonevu mkubwa dhidi ya viongozi na wanachama wa chama hiki.

Wakati viongozi wa Chadema wakiwa wanapata treatment hiyo kutoka kwa CCM na serekali yake, imedhihirika kuwa Zitto hakumbwi na kashi kashi kwa kiwango hicho pamoja na ukweli kwamba huwa anatoa matamko ambayo mara nyingi yanakuwa even harsher kuliko hata ya viongozi wengine wa upinzani.

Mnyetishaji mmoja ndani ya Lumumba (ambaye inasemekana yupo CCM ya kina Nape, January, nk) ametoboa siri nzito kuwa huu ni mkakati mahususi wa kutaka kudhoofisha uhusiano unaoanza kuchipuka kati ya UKAWA (hususani Chadema) na ACT ya Zitto. CCM wamedhamiria kupandikiza mbegu ya mashaka kwenye mind ya viongozi wa Chadema eti wajiulize “ kwanini Zitto hafanyiwi kama sisi, lazima atakuwa anatumiwa na CCM kutuhujumu!!”

Chanzo: mnyetishaji ndani ya CCM (Lumumba).

My take:

UKAWA (Chadema in particular) msikubali kabisa kabisa kabisa njama hizi ovu za CCM za kuwatenganisha wapinzani kama walivyofanya kupitia kwa yule propesa Lipumba.
Umoja wa wapinzani wote (incl Zitto) ni silaha mojawapo muhimu sana katika kufanikisha crusade hii dhidi ya ukandamizaji wa demokrasia.
kwani cdm wanamwamini zitto walimfukuza kwa usaliti mwaka 2015.

hivi 2018 wanaweza kumwamini tena msaliti wa 2015?
 
naendelea kuwasihi Chadema & Zitto msikubali kabisa CCM iwafarakanishe asilani.

sasa hivi umoja wenu unahitajika kuliko kipindi chochote.

CCM watawasulubu Chadema lakini watamwacha Zitto kwa tuhuma zinazofanana - nia yao ovu ni kutaka Chadema wam suspect Zitto kuwa ni agent wa CCM. jihadharini sana msinase kwenye huu mtego wa kitoto!
 
Je, CCM inampaisha Zitto Kabwe ili aje kuchukua nafasi ya CHADEMA?

Nianze kwa kusema kwa uwazi na ukweli bila kujisifu kuwa nina kipawa fulani hivi ambacho mimi mwenyewe kinanishangazaga wakati mwingine wa kumuangalia mtu na kujua motive yake mapema sana.

Huyu Mhe. Zitto Kabwe toka zamani sana akiwa CHADEMA kabla hata hajafarakana na wenzake, hapa naongelea pre-2013, niliona dalili za mtu ambaye kama vile alikuwa anatumika na mfumo. Nilipokuja kusikia ugomvi wake uliompeleka ACT nikajisemea, aha! Ila kazi haijaisha, ile ilikuwa Act 1. Tena kule ni kama alikuwa ameandaliwa chama kwa sababi ameingia tu wengine wanatoka (Mrema ilikuwa hivyo hivyo).

Mnaweza msiniamini ila hata yule Katambi nadhani alikuwa BAVICHA, kila nilipokuwa namuona anaongea kuna kitu kilikuwa kinaniambia huyu mtu anatumika. Hata Mtatiro nilimuona miles away hata alipokuwa anamwaga mapovu kule Instagram hakuwa ananiimpress nilijua tu muda unakuja! Nadhani wataalamu wanaita 'power of discernment'. Google ananinong'oneza kwamba kwa kiswahili maana yake ni 'uwezo wa utambuzi'. Sijisifu na sikulazimishi uniamini ninachosema.

Sasa hivi Mhe. Zitto ndiye anaonekana kinara wa upinzani. Yeye tu sasa ndiyo ana ujasiri wa kwenda vitani na Magufuli. Zitto ndiye the perfect person wanayeona anayeweza au anayefaa kuireplace CHADEMA.

Script ya siasa za vyama vingi nchi hii haijabadilika toka 1995. Wanakiprop chama kimoja cha upinzani, kinakwenda kinashinda hapa na pale, kinakuwa na nguvu fulani halafu wanakireplace tunaanza moja and the circle continues. Naona sasa ni zamu ya ACT kushika hatamu. Kama wewe ni mjanja, hauna hili wala lile na haujali uhai wa demokrasia ya kweli, kimbilia huko kutakuwa na ka ulaji kwa muda fulani hivi kuanzia 2020.

Wanajua Zitto ataweza kupata baadhi ya masalia ya CHADEMA, wengine wataretire kabisa wapotee kwenye siasa. Hapo zamu ya ACT itakapokwisha, kitatafutwa chama kingine cha kushika hatamu and the circle continues tena na tena.....

Mimi ushauri wangu kwa CCM, Serikali na Watanzania. Ni wakati sasa tuelekeze nguvu kwenye uchumi. Kama ambavyo tumewekeza kwenye siasa, na tumewekeza kweli kweli kwa muda na pesa, tukaijua kuicheza vyema ingawa wananchi bado ni mbumbumbu kwenye siasa, kwa nini tusifanye kaparty ka kujipongeza nchi nzima, tukala korosho na gahawa, tukajipa siku mbili tatu za mapumziko au kwa muda tutakaoona unafaa halafu tukajikita sasa kwenye biashara na uchumi tuzalishe manguli wa biashara na uchumi watakaokuwa fahari ya taifa letu Afrika na ikiwezekana dunia nzima?
 
Back
Top Bottom