MKAKATI DHALIMU: CCM wanataka CHADEMA wasimuamini Zitto Kabwe

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2009
Posts
13,201
Reaction score
23,039
Ni dhahiri kabisa CCM wameingiwa na hofu kubwa sana baada ya kugundua kuna uwezekano wa UKAWA kuimarisha wigo wa ushirikiano kwa kumjumuisha Zitto Kabwe na ACT yake.

Viongozi wa Chadema wamekuwa wakitamka na kufanya mengi ambayo more often than not yamekuwa construed kama “uchochezi, uvunjifu wa amani, kukiuka sheria, nk”. As a result, tumeshuhudia kamata kamata za uonevu mkubwa dhidi ya viongozi na wanachama wa chama hiki.

Wakati viongozi wa Chadema wakiwa wanapata treatment hiyo kutoka kwa CCM na serekali yake, imedhihirika kuwa Zitto hakumbwi na kashi kashi kwa kiwango hicho pamoja na ukweli kwamba huwa anatoa matamko ambayo mara nyingi yanakuwa even harsher kuliko hata ya viongozi wengine wa upinzani.

Mnyetishaji mmoja ndani ya Lumumba (ambaye inasemekana yupo CCM ya kina Nape, January, nk) ametoboa siri nzito kuwa huu ni mkakati mahususi wa kutaka kudhoofisha uhusiano unaoanza kuchipuka kati ya UKAWA (hususani Chadema) na ACT ya Zitto. CCM wamedhamiria kupandikiza mbegu ya mashaka kwenye mind ya viongozi wa Chadema eti wajiulize “ kwanini Zitto hafanyiwi kama sisi, lazima atakuwa anatumiwa na CCM kutuhujumu!!”

Chanzo: mnyetishaji ndani ya CCM (Lumumba).

My take:

UKAWA (Chadema in particular) msikubali kabisa kabisa kabisa njama hizi ovu za CCM za kuwatenganisha wapinzani kama walivyofanya kupitia kwa yule propesa Lipumba.
Umoja wa wapinzani wote (incl Zitto) ni silaha mojawapo muhimu sana katika kufanikisha crusade hii dhidi ya ukandamizaji wa demokrasia.
 
Kuna watu ndani ya CHADEMA mimi nawaita "wajinga wajinga", wanamchukia Zitto kuliko hata wanavyoichukia ccm.

Mkuu unalolisema linaweza kuwa na ukweli kabisa..
Hata mimi, na napata hisia na wengine wengi, nimekuwa najiuliza kwanini ZZK yeye huwa hapati kashikashi kama wanazopewa Wabunge wa CHADEMA wakati yeye
huwa anakuwa harsh kuliko hata Wabunge wa CHADEMA..
Ona mkwala aliopigwa na Kangi Lugola baada ya kuhutubia Kilwa..hakuna lolote alilofanywa..
Inawezekana kuna mchezo unafanywa kama ulivyosema.
 
mkuu, mnyetishaji wa Lumumba yupo jikoni kabisa. hizi taarifa ni uhakika kwa 100%.
 
hivi unadhani ata chadema wenyewe wanamuamini Zito?
 
Chadema leo hii wanasahau walimtimua ZZK kutokana na kutomwamini hadi kufikia hatua ya kumwita Msaliti, leo hii wamesahau? Chadema acheni unafki, hautawasaidia
 
Chadema kwa sasa wanakikumbatia chochote kitakacho waletea kiki.
 
unataka kipimo cha uaminifu kutoka kwangu?

siliza...

ukiniuliza mimi kama kuna mtu namwamini hapa duniani nitakwambia ni mmoja tu - mke wangu basi.
naye nalazimika kumwamini ili nisije kufa kwa pressure au stroke!

Hii nimeipenda sana.
 
Back
Top Bottom