Ni kwanini asiyaamrishe majini yake yajiandikishe kwenye daftari la kudumu la wapiga kura ili akale migebuka magogoni.Zitto ni mjukuu wa Juma Njemba, huwezi ukamchezea ukabaki salama
Hapo ndo Mimi nakosa kuelewa plan za Hawa upinzaniPona ya upinzani ni kuwaachia siasa za uchaguzi cccm na kuunda vuguvugu la kudai katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi.
Vinginevyo, wanacheza kamari wasiyoweza kumanga.
Siku zote Chadema hawamuamini Zitto.Ni dhahiri kabisa CCM wameingiwa na hofu kubwa sana baada ya kugundua kuna uwezekano wa UKAWA kuimarisha wigo wa ushirikiano kwa kumjumuisha Zitto Kabwe na ACT yake.
Viongozi wa Chadema wamekuwa wakitamka na kufanya mengi ambayo more often than not yamekuwa construed kama “uchochezi, uvunjifu wa amani, kukiuka sheria, nk”. As a result, tumeshuhudia kamata kamata za uonevu mkubwa dhidi ya viongozi na wanachama wa chama hiki.
Wakati viongozi wa Chadema wakiwa wanapata treatment hiyo kutoka kwa CCM na serekali yake, imedhihirika kuwa Zitto hakumbwi na kashi kashi kwa kiwango hicho pamoja na ukweli kwamba huwa anatoa matamko ambayo mara nyingi yanakuwa even harsher kuliko hata ya viongozi wengine wa upinzani.
Mnyetishaji mmoja ndani ya Lumumba (ambaye inasemekana yupo CCM ya kina Nape, January, nk) ametoboa siri nzito kuwa huu ni mkakati mahususi wa kutaka kudhoofisha uhusiano unaoanza kuchipuka kati ya UKAWA (hususani Chadema) na ACT ya Zitto. CCM wamedhamiria kupandikiza mbegu ya mashaka kwenye mind ya viongozi wa Chadema eti wajiulize “ kwanini Zitto hafanyiwi kama sisi, lazima atakuwa anatumiwa na CCM kutuhujumu!!”
Chanzo: mnyetishaji ndani ya CCM (Lumumba).
My take:
UKAWA (Chadema in particular) msikubali kabisa kabisa kabisa njama hizi ovu za CCM za kuwatenganisha wapinzani kama walivyofanya kupitia kwa yule propesa Lipumba.
Umoja wa wapinzani wote (incl Zitto) ni silaha mojawapo muhimu sana katika kufanikisha crusade hii dhidi ya ukandamizaji wa demokrasia.
Walishagombana kitambo na kutimuana.Hawataweza, Mbowe na Zitto hawawezi kugombanishwa na akili ndogo za lumumba. Hiyo mbinu ilishajulikana kitambo sana, labda watafute nyingine.
Hakuna wanachama wa Chadema wanaomchukia Zitto, hayo umeongea wewe.Kuna watu ndani ya CHADEMA mimi nawaita "wajinga wajinga", wanamchukia Zitto kuliko hata wanavyoichukia ccm.
Hizo imani zenu tu, ondoeni hofu na mashaka. Mbona hata kufa kila mtu anakufa kwa siku yake au staili yake.Mkuu unalolisema linaweza kuwa na ukweli kabisa..
Hata mimi, na napata hisia na wengine wengi, nimekuwa najiuliza kwanini ZZK yeye huwa hapati kashikashi kama wanazopewa Wabunge wa CHADEMA wakati yeye
huwa anakuwa harsh kuliko hata Wabunge wa CHADEMA..
Ona mkwala aliopigwa na Kangi Lugola baada ya kuhutubia Kilwa..hakuna lolote alilofanywa..
Inawezekana kuna mchezo unafanywa kama ulivyosema.
Kwani safari hii hamjafanikiwa kunyaka mawasiliano baina ya Zitto Zubeir Kabwe na TISS kama wakati ulee?
Utaacha lini ushoga?Sauti yako tu mie roho kwatu.
Utaacha lini ushoga?
Acha kubinya pua wewe shoga.Yaani laazizi umenijibu tu, hapa kwenye suruali yangu pametuna ghafla. Baby unnichanganya ujue.
Bila kumsahau Lema na Sugu....yule haule nina mashaka naye...usishangae na yy akavuka mto, kutoka kwa myetishaji wangukutoka jiko la lumumba..hii ina uhakika 100℅, shemeji hanifichi kitu.Zitto, Mbowe , Lissu ndio nguzo pekee zilizobakia kwenye upinzani wa tanzania
Kashafika bei??Bila kumsahau Lema na Sugu....yule haule nina mashaka naye...usishangae na yy akavuka mto, kutoka kwa myetishaji wangukutoka jiko la lumumba..hii ina uhakika 100℅, shemeji hanifichi kitu.
Sijui lakini kuna ile kauli "atakayenidhuru ataangamia yeye na ukoo wake wote hakuna hata mgomba utakaobakia" pengine wanamtizama kwa mbali kwa wogaZitto ni mjukuu wa Juma Njemba, huwezi ukamchezea ukabaki salama
Kwani watu wakigombana hawapatani? Acha kukariri.Walishagombana kitambo na kutimuana.
Hata uchaguzi mkuu wa 2015 hawakushirikiana.
Ndugu unataka kumdanganya nani?
Yaani leo Zitto (aliyeitwa msaliti na kufukuzwa) kawa lulu kwa Chadema?!!
Alisema mtu atakaye jaribu kumzuru,mtu huyo nyumbani kwake hatasalia hata panya mmojaSijui lakini kuna ile kauli "atakayenidhuru ataangamia yeye na ukoo wake wote hakuna hata mgomba utakaobakia" pengine wanamtizama kwa mbali kwa woga