Mk-ultra: Mkakati wa uchunguzi wa CIA na kifo cha John Lenon (Mwanamuziki kikundi cha The Beatles)

Hii michezo ya Mind-Control ipo sana, kuna mashirika ya kijasusi kama C.I.A, MI6, MOSSAD na SVR yamefuka mbali sana kwenye suala zima la ujasusi. Huu ujasusi wa kudukua simu, kuteka watu na kung'oa kucha kwao ni vitu vya kizamani mno. Wakati Urusi ya Kisovieti imeanzisha shirika la kijasusi The Cheka, mkurugenzi wao wa kipindi hicho Myahudi Felix Dzerzhinsky alikuwa anatumia huu mchezo.

Inasemekana SLEEPING-DEPRIVATION ni moja ya mbinu ambayo humfanya mwanadamu apoteze mamlaka ya ubongo wake wa hiyari (Conscious Mind) na ubongo usiyo wa hiyari (Subconscious Mind) ndiyo unafanya kazi. Ubongo usiyo wa hiyari ndiyo unatunza kumbukumbu zako zote na ndiyo unatengeneza tabia zako (Characters) na lugha ya mwili (Body Language).

Akiyafahamu haya, Felix aliwaambia majasusi wake waanza kufanya mahojiano (Interrogations) usiku wa manane na watumie njia ya SLEEPING-DEPRIVATION ili kupata taarifa. Alifanikiwa kwa kiwango kikubwa mno katika hili. Hili lilitokea tena kule Ujerumani ya wanazi, ambapo inasemekana wenyewe walikuwa wanafanya majaribio ya kutengeneza The Superman ( Übermensch) hivyo walifanya haya majaribio ya kucheza na ubongo wa binadamu.

Kinachosikitisha sana sisi watanzania na dunia haya mambo ndiyo tumeanza kuyafahamu leo, lakini wana saikolojia kama Sigmund Freud waliaandikia haya mnamo karne za 19 na 20. Freud yeye akiwa ndiye The Father of Modern Psychology ameandika mambo ya ajabu mno na ya kuogopesha kuhusu ubongo wa mwanadamu na tabia zake. Sasa hawa wenzetu wameanza kucheza navyo hivi vitu miaka hiyo.

Jambo ambalo linaogopesha zaidi na nadhani wanadamu huwa tunalisahau ni kwamba wanazi hawakuishia kule The Nuremberg Tribunal ila walipelekwa Marekani na The Dulles Brothers. Wanasayansi wote wakubwa wa Ujerumani waliohusika na tafiti za ubongo wa binadamu, anga la juu, nyuklia, mwili wa binadamu na mambo ya kiroho walipelekwa Marekani kupitia The Operation Paper Clip na Urusi ya Kisovieti.

Tafiti nyingi za kisayansi za Ujerumani ya kinazi ndizo zilitumika kwa sana na pande mbili hasimu kupambana wakati wa vita baridi. Ukifuatilia vizuri Operation Mocking-Bird na kulinganisha alichokuwa anakisema Joseph Goebbels (Nazi Minister of Propaganda) utaona hakuna utofauti wowote ule. MK-ULTRA was the worse, maana inasemekana walianza na wanyama na baadae wakaja binadamu.

Mnazi Kurt Friedrich Plötner aliyekuwa mwanasayansi wa The SS ya Ujerumani aliajiriwa na CIA ya Marekani na akaendeleza biashara yake ya tafiti (Mind-Control) huku akiletewa binadamu ambao alikuwa anawafanyia hizi tafiti kama panya wa maabara. Wameanza miaka ya 1930's sijui leo hii 2021 watakuwa wamefika wapi, kuna mambo ukiyafikilia na kuyawaza kama una akili timamu ni lazima uyaogope sana mataifa kama Marekani, Urusi, uchina, Israeli na Uingereza.
Mataifa haya ni hatari sana kwa usalama wa dunia......

Hata maraisi wa Marekani waliodhani nchi yao ni dola takatifu baada ya kufahamu nini kinaendelea nyuma ya pazia na kwamba demokrasia ile ambayo wanaaminishwa kiuhalisia haipo waling'aka sana. Raisi Harry S. Truman kwenye baadhi ya Memoirs zake anakiri kabisa kwamba CIA aliyoianzisha imebadilika tofauti kabisa na matarajio yake na imekuwa ni taasisi ambayo ngazi zake za juu zimeshikiliwa na watoto wa familia kubwa za Marekani ambao wamesoma Harvard, Princeton, Oxford na Yale wakilinda maslahi mapana ya makundi husika.

Haikuishia hapo, Raisi Dwight Eisenhower anavyoondoka madarakani baada ya kufahamu kinachoendelea kule AREA 51 na sehemu nyingine alionya wamarekani na kuwaambia "Beware of the Military Industrial Complex".

Raisi John F.Kennedy baada ya kufahamu kwamba CIA ndiyo inaendesha nchi na siyo yeye alimfukuza kazi Allan Dulles lakini bahati mbaya bado akawa anaendelea kuendesha CIA kupitia mlango wa nyuma. Kennedy alipigiwa simu na Raisi wa Ufaransa Charles De Gaulle akiulizwa ni kwanini CIA inafanya operation dhidi ya Ufaransa, Kennedy akabaki anashangaa tu maana alikuwa hajuia chochote. Akaapa akisema "I splinter the CIA into 1000 pieces and scatter it into the wind" lakini CIA ndiyo ikaikata vipande 1000 familia ya Kennedy na kuitupa kwenye upepo.

Mind-Control is very real........
Truth-Serums are very real.........
Mass-Control of populations are very real.......(The color revolutions + Arab Spring+ Active Measures)

Tena siku hizi pamoja na huu utandawazi ndiyo balaa kabisa, wamefika hadi sebuleni kwako. Hivi hujiulizi kwanini Marekani ndiyo nchi inayoongoza kwa kutoa asilimia 60% ya huduma ya filamu za ngono na utupu mitandaoni ??? Tena nyingi ni bure kabisa. Jiulize ni watu wangapi tunaangalia hizo tovuti, unadhani wamezitoa bure tu kukufurahisha wewe ????

AU unadhani hizi filamu za Hollywood pamoja na miziki ambazo zimewatajirisha sana wahusika wake, unadhani lengo lake ni kukufurahisha wewe tu (Entertainment Purposes Only) na wao kupata faida za kiuchumi ????

Moja kati ya wasomi nguli kwenye karne yetu hii ya 21 ni Noam Chomsky (Among the most cited scholar) alisema haya "Democratic societies can't force people. Therefore they have to control what they think."

Siku hizi CIA hawafanyi kama ambavyo tunaaminishwa kuhusu MK-ULTRA ya zamani, au kama ambavyo George Orwell alisema kwenye kitabu chake 1984 kuhusu "The Thought Police". Ila siku hizi kinachofanyika ni kile ambacho Aldous Huxley alikiandika kwenye kitabu chake cha "A Brave New World" akisema kwamba moja ya njia ya kuongoza akili ya mtu ni kucheza na "Hedonistic Pleasures" zake.

Mfumo wa utandawazi na maisha yake ya leo hii ni njia tosha kabisa ya Mind-Control, ambayo ni silaha kubwa na yenye nguvu ya mataifa kama Marekani. Leo hii anaweza kusimama Biden akaongea kitu na vijana wa Hong-Kong wakaamua kuingia mtaani na kuanza kuchoma vitu. Unadhani hii ni kawaida ???? IT'S NOT NORMAL
Mkuu katika ubora wako! Asante sana
 
Haya mambo ya mind control yanatisha ndugu yangu... Na Hii kitu huenda isingejulikana kamwe kama kamati za kiuchunguzi kuundwa miaka ile ya 1960s na bunge la Marekani kuchunguza haya mambo ndipo baadhi ya hizo project zilisitishwa miaka ya mwanzoni ya 1970s . lakini mimi nadhani hizi mambo zinaendelea kimya kimya tena kwa siri sana hadi sasa ndugu .
The Church Committee na Rockefeller Commissions zilikuwa ni geresha tu, unaambiwa nyaraka nyingi zilichomwa moto kupoteza ushahidi na Bunge la Marekani likaachiwa yale ya juu-juu kama Phoenix Programme ya kule Vietnam. Kiuhalisia CIA ni taasisi ambayo huwezi kuichunguza hata kidogo.

Mfano tu baada ya Kennedy kuuwawa kamati iliyoundwa iliongozwa na Mwenyekiti Allen Dulles ambaye ndiye alikuwa moja ya hasimu wakubwa wa Kennedy Family. David Talbot anamnukuu Dulles akimtukana Raisi Kennedy baada ya kufa huku akisema "Kennedy, that man thought he's a god"

Juzijuzi tu inasemekana Gina Haspel aliwahi kutoa amri nyaraka za CIA zinazohusu utesaji ambao walikuwa wanaufanya kule Thailanda Black-Site zichomwe. Kama hizi nyaraka zimechomwa usidhani zile za siri za juu kabisa zitakuwa rahisi kuchunguzika. Kuna teknolojia ambazo mimi na wewe hatuzijui kabisa na wala hatujawahi kuziwaza lakini ikija kutokea vita kubwa ndiyo utachekishia mambo......

Nikita Khrushchev aliwahi kusema hivi "what the scientists have in their briefcases is terrifying"
 
Dah... Nimekupata ndugu .ila wanadai kwamba hizi mambo zisingevuja kamwe we sema kuna nyaraka ziliingia mikononi mwa whistleblowers ndio maana baadhi yakajulikana... Dah yanatisha sana haya mambo... Na ukimweleza mtu mtaani hizi mambo hawezi kukuelewa kamwe
 
Kuna hili hapa la THE SONIC ATTACKS dhidi ya Ubongo. Unaweza kuhisi ni Conspiracy Theory lakini yametokea na yamewakuta mabalozi wa Marekani nchini Cuba. Walipimwa na kukuta kuna sehemu za bongo zao zimeathirika na mionzi. Wamarekani wanadia kwamba mashambulio haya yamefanywa dhidi ya majasusi wa Marekani duniani kote na Urusi anaweza akawa nyuma yake.

Kama haya madai yana ukweli na siyo Propaganda basi dunia tumefika mahali pabaya sana na sidhani kama mambo yatakuja kurudi kuwa kawaida. We have crossed a rubicon

"Russian spy unit suspected of directed-energy attacks on U.S. personnel">Russian spy unit suspected of directed-energy attacks on U.S. personnel POLITICO "
========================================================================

New details on diplomat’s mysterious brain injury linked to ‘sonic attacks’​

Doctors shared details Thursday about what happened to the brain of one diplomat who may be a victim of the so-called sonic attacks that have impacted dozens of people in Cuba and China.

Researchers revealed the results of an independent brain analysis of Mark Lenzi, a US diplomat who was stationed in Guangzhou, China, in 2017 when he started experiencing unexplained symptoms including headache, difficulty reading, irritability, as well as memory and sleep problems.

Among the MRI findings: 20 brain regions with “abnormally low” volumes, including regions involved in memory, emotional regulation and motor skills that may correlate with Lenzi’s symptoms, doctors said. Of the 107 regions they looked at, they also found three that had bigger volumes. They said the parts of the brain with low volume may reflect brain injury, and those with high volumes could be evidence that other parts of his brain have compensated.

These tests, however, do not reveal the cause. That remains a mystery.

“There’s no smoking gun,” said Dr. Edward Soll, medical director of The Concussion Group and a radiologist who was among those who evaluated Lenzi’s brain scans. Still, looking at the compendium of evidence, “it would be hard not to conclude that there was serious damage to this gentleman’s brain,” he added

The “sonic attacks,” as they have come to be called, are first known to have befallen US government personnel in Havana, Cuba, starting in late 2016. The US State Department announced last year it was looking into similar events in China, expanding a health alert there. Secretary of State Mike Pompeo described the medical details in both locations as “very similar and entirely consistent” with each other.

A study published in July also found brain variations among 40 US government personnel affected by the events in Cuba, when compared to 48 healthy adults. The variations included some measures of volume and relationships among different brain regions. However, the authors of the earlier study noted that the clinical importance of the findings was uncertain, and they didn’t have earlier MRIs of the patients to compare with what their brains looked like before the incidents. Moreover, these patterns didn’t fit a clear picture of a specific disorder, according to the authors.

“It certainly does not resemble the imaging presentation of traumatic brain injury or concussion, although they present with clinical symptoms which are concussion-like,” Ragini Verma, one of that study’s authors and a professor of radiology and neurosurgery at the University of Pennsylvania’s Perelman School of Medicine, previously told CNN of the Cuba patients.

“It says something happened, and we need to look further, and that’s about it,” Verma said.

In previous accounts, Cuba patients described hearing “intensely loud” sounds coming from a specific direction, which they described as “buzzing,” “grinding metal,” “piercing squeals” and “humming.” Experts said the noise itself is unlikely to have caused the symptoms.

We actually don’t think it was the audible sound that was the problem,” Dr. Douglas Smith, director of the University of Pennsylvania’s Center for Brain Injury and Repair, previously told CNN. “We think the audible sound was a consequence of the exposure.”

New Hampshire Senator Jeanne Shaheen said in a statement Thursday that Lenzi’s findings underscore the importance of her efforts to include a provision in the latest congressional spending bill ensuring government workers injured in places like Cuba and China have access to long-term health care.

“These injuries, and subsequent treatment by the U.S. Government, have been a living nightmare for these dedicated public servants and their families,” Shaheen said. “Our diplomats, personnel and their families in China and Cuba experienced mystifying injuries while serving our country, and they must be assured that our government will stand by them as they continue on their path toward recovery.”

Soma hapa zaidi:https://edition.cnn.com/2019/12/19/health/sonic-attack-brain-study/index.html
 
Inasemekana THE RAND CORPORATION, THE NATIONAL ENDOWMENT FOR DEMOCRACY na CIA walitengeneza mbinu maalumu inayoitwa THE SWARM ambapo wanafanya Psycho-analysis ya jamii husika kwa muda mrefu na kuangalia vitu ambavyo jamii fulani inavipenda na kuvichukia (Triggers), wakitumia mtandao na mbinu nyingine za siri wanatafuta Agent Provocateur analianzisha mwishowe inatokea The Color Revolution au The Arab Spring.

Kuna kitu kinatwa THE NATIONAL TEXTURE/NATIONAL HOMOGENEITY/CULTURAL TEXTURE ambacho hufanya watu wa tamaduni fulani hata kama wanatokea kwenye mataifa tofauti kufanana sana mfumo wa maisha. Mfano Kenya/Tanzania, Marekani/Uingereza, Ujerumani/Austria nk. Kiulinzi na kiusalama inaaminika kwamba kila nchi huwa na saikolojia yake (Mind/Heart of the society).

Mwanafalsafa wa Ujerumani wa karne ya 18 na 19 bwana Friedrich Carl Von Savigny aliliandikia hili akisema kwamba nchi na jamii huwa na roho yake. Yeye alikiita hichi kitu Volksgeist kwamba "The Spirit of the Nation". Kwenye lugha ya Kijerumani neno Volks linamaanisha "The People/The Folks" ndiyo maana lile gari Volkswagen maana yake ni A Peoples Car. Hivyo Volks ni watu na Geist ni roho.

Hizi falsafa zimepigwa kabisa marufuku kwenye nchi za Magharibi kwasababu inaaminika kwamba ndiyo chanzo kikubwa cha kuzaa falsafa za kifashisti na kinazi. Sasa tukirudi kwenye suala zima la MIND-CONTROL na hii Volksgeist, jambo zuri au baya likitokea kwenye nchi moja jirani ambayo ina CULTURAL TEXTURE sawa na nchi ya pili, basi hilo jambo laweza kusambaa na kuvuka mipaka hadi nchi ya pili.

Hebu jiulize kwanini The Arab Spring ilianzia Tunisia ikasambaa haraka Morocco, Egypt Libya hadi kufika Syria na Yemen kwa haraka vile halafu isifike nchi za kusini mwa jangwa la sahara ??? Jibu ni rahisi sana tu, hizi nchi zina CULTURAL TEXTURE zinazofanana sana. Wote ni Waarabu, Wote ni Waislamu, Wote wana lugha moja, Vyanzo vyao vya Uchumi vinafanana na mifumo yao ya siasa inafanana: UNAJIFUNZA NINI HAPA ??? (CHANGAMOTO ZAO ZA KISIASA NA KIUCHUMI ZINAFANANA)

Hivyo ukipata wataalamu wazuri ambao watalianzisha jambo kubwa kwenye nchi moja, basi asilimia 80% hicho kitu kinaweza kusambaa (SWARMING) hadi kuingia nchi nyingine japo siyo mara zote. Zingatia mifano halisi ifuatayo: Baada ya Kenya kupata Katiba mpya mwaka 2010, watanganyika nao wakaanza maneno ya kitaka Katiba mpya na haikuchukua muda msukumo ukawa mkubwa na mchakato wa Katiba Mpya ukaanza na mpaka leo hii upo. Hapa unajifunza nini ndugu yangu ????

Haya mwaka 1957 Ghana ilipata Uhuru wake, haikuchukua muda mrefu mwaka 1960 nchi nyingi za Africa zilianza kujipatia mamlaka ya ndani. Mwaka 1960 kihistoria huwa unaitwa THE YEAR OF AFRICA kwasababu nchi nyingi zilianza kudai uhuru baada ya kuona wenzao wamepata. Hii THE SWARM wengine huita THE DOMINO EFFECT or CHAIN REACTION.

STILL NOT CONVINCED ????

Wakati Vita-Baridi imepamba moto, Marekani akishirikiana na The Vatican walifahamu jambo moja muhimu sana, kwamba nchi zote ambazo zinatengeneza umoja wa kisovieti kasoro Urusi zina saikolojia inayofanana kutokana na tamaduni kufanana, pia matatizo yao kisiasa ambayo yamesababishwa na Ukomunisti. Hivyo ikaamuliwa kwamba Papa ni lazima atoke Poland na awe kama Agent Provocateur.

Yuri Andropov baada ya Papa John Paul wa pili kusimikwa alienda kuwashambulia KGB hasa mkuu wa idara aliyeko Poland kwamba kwanini ariruhusu Poland itoe Papa. Baada ya lile ndiyo mara ukaanza kusikia The Hunger Strikes Poland miaka ya 1980's. Baadaye ukuta wa Ujerumani ulivyovunjwa tu na serikali ya kikomunisti ya Poland ilivyoanguka tu, kila nchi katika nchi 15 za Umoja wa Kisovieti zikaanza kujitoa kwenye muungano moja baada ya nyingine.

Sasa hii ndiyo The Domino Effect/The Swarm maana wahandisi jamii (Social Engineers) kama Propagandists wanaamini kwamba jamii husika huwa inakuwa na ubongo wake yenyewe "Volksgeist" na unaweza kucheza nayo. Juzi nilikuwa naangalia madai ya Beijing kwa kile kilichokuwa kinaendelea Hong-Kong, wakisema kwamba "America is trying to start a colour revolution in China".

Yaani Hong-Kong ikifanikiwa kuwashinda Wakomunisti ni lazima tu hili litasambaa kwenda sehemu kama Xinjiang, Taiwan, Tibet na sehemu nyingine ndani ya Uchina hivyo nchi itaparanganyika tu. Uchina anaufahamu huu udhaifu na anaogopa mno yasimkute yale ya Urusi. Xinjiang, Taiwan, Tibet na Hong-Kong wanafanana sana kwenye baadhi ya matatizo, hivyo suluhu ikipatikana Hong-Kong kwanini isipatikane Xinjiang, Tibet na Taiwan ???

MK-ULTRA IS A THING OF THE PAST which started almost half a decade ago, siku hizi utandawazi umewarahisishia sana kazi. Wamefanikiwa sana kiasi ambacho kijana wa kitanzania hana tofauti sana na kijana wa Kimarekani anayekaa New-York au Alabama kifikra. Ndiyo maana leo kuna hata mambo (Some western values) hayana umuhimu kwetu waafrika na kwasababu tu yanafanyika Ulaya na Marekani wasomi wa kitanzania wako radhi hata kufa ili kuyatetea. ITS JUST NOT NORMAL.....

Ndiyo maana Karl Marx alishauri mapinduzi yafanyike duniani alisema "The Superstructures of the Capitalist Societies like media, religion, legal order, acedemia" ni lazima zibomolewe kwasababu hivyo ndivyo vyombo ambavyo vinatumikwa kutawala akili za mtu binafsi huku mtu akihisi kwamba yuko huru na ana mawazo kumbe mawazo hayo yamepandikizwa. Karl Marks ananukuliwa akisema hivi "Religion is an opium of the people"

It sounds like a conspiracy but these things of MIND-CONTROL, SUBLIMINAL MESSAGING, INFLUENCING PUBLIC OPINION are very real. Matumizi ya kemikali na kumkamata mtu na kufuta akili yake huwa yanafanywa kwa watu wachache tu na kwa kazi maalumu, lakini sisi ambao tuko nanjilinji, dawa yetu ni SUBLIMINAL MESSAGING TU.......

A HUMAN BRAIN IS A COMPUTER AND IT CAN BE PROGRAMMED TO WORK THE WAY A PROGRAMMER WANTS IT TO WORK.

Kazi tunayoo..........
darasa tosha hili kaka..diplomasia nzito mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walipanga lazima papa atoke Poland mwishowe kwel alitoka Poland sijui nan anamtumikia nan kati ya kanisa na us
 
Back
Top Bottom