MJUSI KAFIRI

Mahmood

JF-Expert Member
Feb 9, 2008
7,912
2,000
Napenda kuuliza kuhusu jambo hili (Labda linaweza kuwachekesha wengine lakini mimi limenishangaza), katika siku moja kuna mjusi watatu walibanwa na milango 3 tofauti za nyumbani, wote walibanwa katika siku hiyo hiyo moja (Haya hayajawahi kutokea tokea tuanze kuishi katika nyumba hii sasa ni miaka 24).

Milango iliyo wabana mjusi hao ni yajikoni (mlango wa kuingilia jikoni kutokea inje, uwani), na mlango wa kuingilia ndani (Main door) na mlango wa choo cha chumba chetu (master bedroom).

Je hili tukio lina maana yeyote ?
 

MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,506
2,000
Mjusi ni kiumbe kama viumbe wengine inaonyesha humu ndani ya nyumba yenu kuna hao viumbe wengi haina maana mbaya mbona mimi ninae Mjusi na kila siku analia na kunipa News kulia kwake nikiangalia saa najuwa amesema kitu gani mjusi huwa halii ovyovyo tu ndani ya nyumba. mimi nawependa hao viumbe.


 

fxb

Senior Member
Jun 22, 2011
123
170
Mjusi ni kiumbe kama viumbe wengine inaonyesha humu ndani ya nyumba yenu kuna hao viumbe wengi haina maana mbaya mbona mimi ninae Mjusi na kila siku analia na kunipa News kulia kwake nikiangalia saa najuwa amesema kitu gani mjusi huwa halii ovyovyo tu ndani ya nyumba. mimi nawependa hao viumbe.Du umeshaniwahi na atavar hiyo Big up Mashaa allah!
 

Mahmood

JF-Expert Member
Feb 9, 2008
7,912
2,000
Lakini kitu cha kushangaza mjusi watatu wamebanwa na milango mitatu tofauti katika nyumba moja na siku moja ?

I have been living in this house for 24 years now, this has never happened before.

Pia katika nyumba hii hakuna mjusi wengi..
 

Mahmood

JF-Expert Member
Feb 9, 2008
7,912
2,000
Mjusi ni kiumbe kama viumbe wengine inaonyesha humu ndani ya nyumba yenu kuna hao viumbe wengi haina maana mbaya mbona mimi ninae Mjusi na kila siku analia na kunipa News kulia kwake nikiangalia saa najuwa amesema kitu gani mjusi huwa halii ovyovyo tu ndani ya nyumba. mimi nawependa hao viumbe.Acha bwana wee, anakupa News gani ?

Naomba utufahamishe.
 

Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
52,210
2,000
Napenda kuuliza kuhusu jambo hili (Labda linaweza kuwachekesha wengine lakini mimi limenishangaza), katika siku moja kuna mjusi watatu walibanwa na milango 3 tofauti za nyumbani, wote walibanwa katika siku hiyo hiyo moja (Haya hayajawahi kutokea tokea tuanze kuishi katika nyumba hii sasa ni miaka 24).

Milango iliyo wabana mjusi hao ni yajikoni (mlango wa kuingilia jikoni kutokea inje, uwani), na mlango wa kuingilia ndani (Main door) na mlango wa choo cha chumba chetu (master bedroom).

Je hili tukio lina maana yeyote ?

unachezewa na majirani zako, lete mbuzi nikutengenezee kinga fasta. Usisahau pia kuwaletea mizimu LED tv ya nchi 42
 

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
26,341
2,000
Na kwanini waitwe Kafiri?
Nachojua ukafiri unahusiana na dini,
Sasa mijusi na dini wapi na wapi?
Au ni jina tu?
 

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
42,297
2,000
Mkuu, kwa wiki unaweza kabana mijusi mingapi? Tufanye hiyo project ya mijusi
 

harakat

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
2,895
2,000
Mijusi wanasogelea maeneo hayo ya jamaa kwani inaelekea kuna wadudu wengi sana anga hizo wapulizie sumu ya kuua wadudu farmigation
hicho kitawafanya mijusi kukosa wadudu na watajikaa sorry wataondoka zao
 

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,498
2,000
Acha imani za giza. Kama umewaona wachomoe uwatupe. Jaribu kufanyia usafi nyumba yako, inaonekana umchafu sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom