Mjumbe wa Katiba Bi Maria Saungi Tseshai

Mmesema alisoma Zanaki enzi za 90s je alikuwa memba wa lile kundi la wale Zanaki girls?

Wale mabinti walikuwa wanatisha aiseee...

Sasa tushakubaliana kuwa hana mume tatizo hali...huu wembamba kwangubni big problem.

Sina tatizo na urefu wake..
 
Then hutu atakuwa ndio Asha Dii!.
NB, Japo ni kosa kumhisi member yoyote kuwa ni fulani, lakini kwa vile jf was ment to be the home of great thinkers, but very unfortunately imetokea ma great thinkers wa ukweli ni wachache humu jukwaani na wanahesabika!, na wanawake ni wachache zaidi, kumfananisha member yoyote humu na watu kama WOS, ni kumpa chati ya juu, na sio kosa!.
Pasco

sio Asha diii
 
Wana JF,

Nimesikiliza mchango wa huyu mdada Maria Sarungi Tseai. She sounds good! Anaonekana IQ(Intelligent Quotient) yake inafanya kazi sawa x2.

Kwa maoni yangu huyu mdada amewafunika wanawake wote wakiwemo Wabunge wakongwe wa CCM kina Anna Tibaijuka na wajina wake Anna Makinda na Anna Malecela. Hakika mchango wake ni very strong na huwezi kuutilia shaka hata kidogo. Alichozungumza ni ukweli na ukweli mtupu.

Lakini niseme tu kwamba nimesikitishwa sana na michango ya baadhi ya wana JF kwa kuacha kujadili HOJA aliyochangia Dada Maria badala yake wameanza kumjadili alivyo,sijui kasoma wapi, sijui baba yake ni mjaluo na vitu kama hivo. Hii ndiyo wanayosema wazungu,''Intelligent mind discuss issues while Foolish mind discuss people''

Kinachotakiwa hapa ni kujadili hoja iliyoko mbele yetu kuhusu mchango wa huyu mjumbe juu ya Katiba mpya na si kuanza kujadili yeye ni nani,kabila gani na baba ni mjaluo na upuuzi mwingine!!!Tujadili hoja na si kujadili watu.

Your social and personal life inatufanya tupate the clear picture of yours..je unayoyaongea unayamaanisha..!! Yahani kama huwezi kuyaongoza maisha yako utaongozaje ya jamii nzima..umeziona tweets zake kuhusu posho..?? Je anayoyasema bungeni ni sawa na anayoyaandika kwenye social medias..
 
Mlinganishe na mamatilie, sijui mwimba taarab, Zainab Gama (from 00:31)

 
Last edited by a moderator:
Huyu dada ni kichwa kwa kweli nimemkubali angekuwa hajaolewa ningemproposia jamani,kujiamini nadhani ni issue nzuri sana hata watoto wangejiamini kama yeye du keep it baby mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
nimemkubali kwasababu anatuwezesha watu wa mitandaoni kupata live update esp. through her tweets.
Kazi nzuri mudada.
 
Nilisoma primary nao hawa mabinti, na shule yetu ilikuwa na set nyingine za poit five kama 6, wakiwemo hawa na wengi walikuwa mabinti, kuna wengine wakiitwa Stephania na Nikki Sefu, kulikuwa na Pint five za Sepetus, Poit five za Mtuyabaliwes, Point five za Kimeseras, na point five za Msuya's.

Kiukweli nilitokea kuwapenda hawa point five, sikujua why, ukubwani ndipo nikaja kujua kuwa kumbe sisi watu wa Kanda ya Ziwa ni hoi kwa rangi fulani!. Na ikatokea wengi wa pont five ni vichwa mbaya!, contributing reasons ni kuwa wengi wa wabongo vichwa sana ndio waliopata scholaship za ulaya enzi hizo rushwa bado!, wakiwa shule, walioana na wanafunzi wenzao, mabinti wa kizungu ambao pia ni vichwa, matokeo ni kuproduce vi off spring vichwa vichwa!.

Nadhani kuna direct relation kati ya ukichwa wa baba ukijumlisha ukichwa wa mama kuproduce watoto vichwa!.

Pasco.

Pasco unaweza ukamjua Maria ukubwani lakini sio kweli kwamba umesoma naye. Wewe ulisoma Oysterbay, yeye kasoma Bunge. Na kishule alikuwa nyuma yako sana. Wao wako wawili kwa mama wa ki 'hungary' naye ni mtoto wa pili. Unaweza ukawa unamfagilia lakini usionyeshe kuwa unamjua kiasi hicho

Kwahiyo Pasco primary ulisoma Bungo Morogoro? Mmh!!!

Valour...... Ni pm inawezekana tunafahamiana. Stephania was my friend.....
 
Ni binti wa Prof. Sarungi!. Namfananisha na binti mmoja, Stephania niliyesoma naye primary, ni kichwa kweli kweli cha ukweli!.
Nadhani ana 1st degree ya Journalism, na Masters ya Communications, anakampuni yake ya Compass Communications,
She is no nonsense lady!.
Pasco

Nilimuona wakati akichangia na kusema kura ya siri ni fundamental principles of democracy..
 
Pasco unaweza ukamjua Maria ukubwani lakini sio kweli kwamba umesoma naye. Wewe ulisoma Oysterbay, yeye kasoma Bunge. Na kishule alikuwa nyuma yako sana. Wao wako wawili kwa mama wa ki 'hungary' naye ni mtoto wa pili. Unaweza ukawa unamfagilia lakini usionyeshe kuwa unamjua kiasi hicho
Hahahaha duh!
 
Balaa. Halaf akawa mwandishi wa habari....????????
Mimi pia nimesoma, PCM Tambaza na nilipasua na sasa ni mwanahabari!.
Kuna waandishi wa habari wa aina mbili.
1.Wale waliofeli masomo hivyo kuingia media kama the only option left for them!.
2.Wale waliofanya vizuri kwenye masomo yao, wakaamua kuingia media for the love of it, hivyo ni waandishi by choice not by chance!.
Pasco
 
Mimi pia nimesoma, PCM Tambaza na nilipasua na sasa ni mwanahabari!.
Kuna waandishi wa habari wa aina mbili.
1.Wale waliofeli masomo hivyo kuingia media kama the only option left for them!.
2.Wale waliofanya vizuri kwenye masomo yao, wakaamua kuingia media for the love of it, hivyo ni waandishi by choice not by chance!.
Pasco

Mmmmmmh haya mkuu!!!!!!
Ila.mngesoma hayo mavitu halafu mkaongeza na elimu ya habari mngekuwa mitambo sana na ingepunguza waandishi wa habari "kujua" sana!!!!
 
Ningeendelea PCM ndipo nikaandike habari?!.
Pasco

Haiwezekani???!!!
Ungekuwa say Engineer na.ungeandikia from that angle sio sumu za kina Kibonde na nani sijui wanaotangaza habari za nyumba wakati wao hata ratio ya tofali na sababu zake hawajui!!!!!

Au huoni dakika arobaini na tano wakiingia watu tough muandishi anageuzwa tape
recorder???!!!

Au wewe uje unihoji mimi sasa si ntaamua kuupeleka mjadala nitakavyo sababu najua huwezi kunibana
 
Back
Top Bottom