Mjumbe wa kamati kuu CHADEMA, Lazaro Nyalandu awakilisha chama mazishi ya Hayati Dkt. John Magufuli wilayani Chato

Lakini mbona hata JJ Mnyika ( katibu mkuu), Tumaini Makane ( Msemaji Mkuu wa Chama) , P Msigwa ( Mjumbe wa Baraza Kuu) na wajumbe wengine mbona wameenda kuaga mwili wa JPM.!! Sasa hizo chokochoko zako ni kama vile kwa chama cha chadema yeye ndio kiongozi wa kwanza kwenda msibani vile.
Waende tu CDM tunawasubiri Jimbo la Muhambwe tuwashughulikie - CCM haitoanguka

Lissu awasaidie kufungua chama Ubelgiji ili mtafute urais huko si Tanzania
 
Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Lazaro Nyalandu yuko wilayani Chato mkoani Geita akishiriki mazishi ya kitaifa ya Hayati Dkt. John Magufuli.

Nyalandu ameonekana muda mwingi akiwa na mbunge wa Ilemela Dkt. Mabula na mbunge wa Shinyanga mjini Patrobas Katambi wote wawili ni manaibu waziri.


RIP Magufuli

Huyo mheshimiwa vipi hajatokea bado hapo Chatto hata kukuwakilisha wewe tu mkuu?
 
Back
Top Bottom