CUF Habari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 239
- 234
ABDUL KAMBAYA
Kesho Jumatatu atakuwa katika kipindi cha TUONGEE ASUBUHI kinachoruka kupitia STARTV.
MUDA: Saa 1:00 Asubuhi Hadi Saa 3:00 Asubuhi.
Kipindi hiko kitakuwa na wageni watatu kutoka mikoa mitatu tofauti Mwanza, Arusha Na Dar es salaam.
Abdul Kambaya BINGWA WA KUJENGA HOJA
#USIKOSE.........