Mjue nyoka mwenye sumu kali Barani Afrika

Naijua lakini inategemea unamcompare na mnyama gani? Je, unaijua maximum speed ya kobe? Ukubwa au udogo wa kitu inategemea unalinganisha na kitu gani?

Human-45Km/h na Mamba-16Km/h. So mwanadamu yupo juu zaidi ya Black mamba.
Basically, We live in different ecosystem btn Snake and Human.
So, Kila kiumbe anadevelop na kuattain something kutokana na surrounding environment yake inayomzunguka kwa Black Mamba ni kubwa kwa sababu anaweza kuescape from their enemies (eg. Bird and Large Lizard) na kucatch up it's pray without losing alot of energy. So it work like that.
sasa hiyo sio spidi ya kumsifia kwamba ana mbio sana,ni ya kawaida tu

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
sasa hiyo sio spidi ya kumsifia kwamba ana mbio sana,ni ya kawaida tu

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Kila kitu ni sifa, either iwe kubwa au ndogo ndiyo sifa yake.

Mfano: kobe anasifika kwa upole wake na mwendo wake wa taratibu. Hiyo ni sifa tayari.
So, ukubwa au udogo usikuumize kichwa.

Na nikisema maximum speed haimaanishi, ni speed kubwa bali niukomo wa juu wa speed wa kiumbe fulani. Na kila kiumbe anamaximum speed yake.
 
Hizi ishu ziko overated mno kiasi its a fun sharing, mkuu 16km/h ni normal speed you can also run with this speed relative to time taken.

Mimi pia sijuwi rangi ya kahawia iko vipi?
 
Ninavyo elewa ni 45km mpaka 55 km kwa saa. Binadamu hawezi kimbia hivyo.
20210713_155512.png
 
Kuna MTU hapo juu kasema eti black mamba wakipigana akimuumiza mwenzake anenda kumchumia Dawa aina tatu anaenda kumtibu,mh sidhani labda ni hadithi.

Ninavyoelewa Mimi kuwa hawa jamii ya nyoka ni territorial snake kwa hiyo wqmepewa sumu Kali kwa ajili ya kupambana na maadui wao wanowangilia kwenue territory zao,pia kwa urahisi Wa kujipatia msosi kwa kutumia sumu Kali.

Mfano dume jingine linapoingia kwenye territory lake lazima zichapwe.
 
Huy nyoka nimekutana nae sana uzuri wake yeye hana shobo alaf ni mstaarab akishaona sehem inadalili ya makaz ya watu yeye huwa anaondoka anaenda kuish mbali ugomvi wake ni pale unapotaka kujaribu kumshambulia hapo ndo hakuna rangi utaacha kuona
 
Naijua lakini inategemea unamcompare na mnyama gani? Je, unaijua maximum speed ya kobe? Ukubwa au udogo wa kitu inategemea unalinganisha na kitu gani?

Human-45Km/h na Mamba-16Km/h. So mwanadamu yupo juu zaidi ya Black mamba.
Basically, We live in different ecosystem btn Snake and Human.
So, Kila kiumbe anadevelop na kuattain something kutokana na surrounding environment yake inayomzunguka kwa Black Mamba ni kubwa kwa sababu anaweza kuescape from their enemies (eg. Bird and Large Lizard) na kucatch up it's pray without losing alot of energy. So it work like that.
Black Mamba yuko speed zaid ya binadam huyo akikuamulia huchukui round mjomba hata uwezo wake wa kugonga ni faster sana n kama cherehan anaweza kugonga ng'ombe hata 15 ndan ya 30seconds
 
KOBOKO(BLACK MAMBA) Nyoka pekee mwenye spidi ya Kasi kuliko Nyoka wote duniani, Ni Nyoka wa kwanza kuwa na Sumu kali barani Afrika na ni Nyoka wa pili mrefu mwenye Sumu kali baada ya King cobra anayepatikana India. Koboko anakuwa na kufika Hadi urefu wa futi 14 na ana rangi ya kijivu na kahawia.

Sumu yake inauwezo wa kuua watu 20 kwa kuuma mara moja, koboko ni Nyoka anapenda kuishi kwenye vichaka, vilima vyenye mawe mengi, mbugani na porini.

Ukikuta koboko wanapigana usiwafukuze utakuwa mtu moja mwenye bahati sana,kwasababu moja akiumia mwingine anaenda kumtafutia dawa na kumletea mwenzake, ukimfatilia huyo anakwenda kufata dawa utakuwa umejua dawa ya Sumu ya nyoka,inasemekana anachukua dawa aina tatu Ila chunga Sana asije akakuona unamfatilia atakukimbiza hadi akuume.

Kumuua Nyoka huyu sio mchezo kwasababu ni Nyoka mwenye Sumu kali Sana na ni Nyoka ambaye mwendo wake ni wa spidi ya kasi, ukifanikiwa kumuua hakikisha umemchimbia shimo refu na kumfukia kwasababu mifupa yake ni Sumu ukikuchoma huponi.

Huku kwetu toronto ya tabora ni mboga tamu sana hiyo mududu
 
Huy nyoka nimekutana nae sana uzuri wake yeye hana shobo alaf ni mstaarab akishaona sehem inadalili ya makaz ya watu yeye huwa anaondoka anaenda kuish mbali ugomvi wake ni pale unapotaka kujaribu kumshambulia hapo ndo hakuna rangi utaacha kuona
Kumbe hana makuu eeh? Binadamu ndiye mchokozi?
 
Stori nyingi kuhusu nyoka zimetiwa chumvi sana.

Na nyingi zaidi ni UONGO.

Ingia YouTube, andika neno hili; Dingo Dinkelman, halafu fuatilia video zake huyo jamaa...
Utangundua tumelishwa matango pori sana!

Jamaa ni jirani yetu wa South Afrika tu hapo!
Huwa namcheki sana NATIONAL GEOGRAPHIC mbona yeye huwa anawakamata na kutupa somo namna sumu yake inavyo athiri pindi anapokuuma.
 
Katika Nat Geo Wild, inayopatina kwenye Dstv (Snakes in the City) jamaa anaitwa Simon, pamoja na mchumba wake wanawakamata sana hawa nyoka koboko na yeye mwenyewe anasema huwa hawaogopi Koboko kama anavyowaogopa Mozambiqan spitting cobra.
Jamaa kwenye nyumba yao wanafuga nyoka wengi sana, wenye sumu na wasio na sumu inaonekana ni hobby yao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom