Mjue nyoka mwenye sumu kali Barani Afrika

Mjue nyoka mwenye sumu kali Barani Afrika

Katika Nat Geo Wild, inayopatina kwenye Dstv (Snakes in the City) jamaa anaitwa Simon, pamoja na mchumba wake wanawakamata sana hawa nyoka koboko na yeye mwenyewe anasema huwa hawaogopi Koboko kama anavyowaogopa Mozambiqan spitting cobra.
Namfuatilia sana yule jamaa. Yule mara nyingi anakamata vinyoka vidogo kwenye majumba ya watu.... Akikutana na yule mwenyewe aliyekomaa mziki wake si wa kitoto...
 
Namfuatilia sana yule jamaa. Yule mara nyingi anakamata vinyoka vidogo kwenye majumba ya watu.... Akikutana na yule mwenyewe aliyekomaa mziki wake si wa kitoto...
Unamuonea mkuu, kumbuka yale ma koboko makubwa anayoyakamata (mpaka futi 10), usimchukulie powa kabisa. Lkn pia wale nyoka wanatoka kwenye vichaka na mapori yaliyo karibu na makazi ya watu, kwa hio nao ni wa porini, sio wa kufugwa.
 
anaweza kusimama robo 3 ya mwili wake!na akakuangalia usoni..

sumu yake aina ya neurotoxin yenye protin nyingi.
akikuuma sumu yake inaenda kushut down nervous system ambayo hupelekea kuparalyze kisha mfumo wa hewa kushindwa kufanya kazi na kufa ndani nusu saa au lisaa!

ni nyoka mpole sana na hujiepusha na wanyama wakubwa kumzidi ikiwemo binadamu...
sababu hata akikuuma hawezi kukumeza!kwann akukimbize!

ukimuona porini kwa bahati mbaya we shika njia yako na yeye ataenda yake sababu hapendi ugomvi usiomuhusu
labda sio hawa wa tabora
 
Unamuonea mkuu, kumbuka yale ma koboko makubwa anayoyakamata (mpaka futi 10), usimchukulie powa kabisa. Lkn pia wale nyoka wanatoka kwenye vichaka na mapori yaliyo karibu na makazi ya watu, kwa hio nao ni wa porini, sio wa kufugwa.
Sasa nyoka akishakuwa sakafuni anakuwa kama mbuzi tu. Ukute wale nyoka wenyewe wameshazoea kula mikate...

Zile shetani za msituni asilia zile, akutane nazo msituni afu ajifanye kama anataka kujikuna....
 
Unamuonea mkuu, kumbuka yale ma koboko makubwa anayoyakamata (mpaka futi 10), usimchukulie powa kabisa. Lkn pia wale nyoka wanatoka kwenye vichaka na mapori yaliyo karibu na makazi ya watu, kwa hio nao ni wa porini, sio wa kufugwa.
Kusema kweli anamionea,au hajapata kuona program ambazo zinaonyesha wale black namba wakubwa.Yule jamaa na mchumba wake wana ujasiri wa kipekee.Yeye mwenyewe anakiri kuwa akikuuma ni within 20 minutes to 1hr unakufa.
 
Nadhani kweli hajaona zile ambazo jamaa anadaka makoboko makubwa makubwa, pamoja na yale ma cobra
 
Mjomba..hiv speed ya 16km/h unsijua jinsi ilivyo slow...
Naijua lakini inategemea unamcompare na mnyama gani? Je, unaijua maximum speed ya kobe? Ukubwa au udogo wa kitu inategemea unalinganisha na kitu gani?
mkuu kama hii ndio spidi yake mbona ni ya kawaida hii inakaribiana na spidi ya binadamu tu

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Human-45Km/h na Mamba-20Km/h. So mwanadamu yupo juu zaidi ya Black mamba.
Basically, We live in different ecosystem btn Snake and Human.
So, Kila kiumbe anadevelop na kuattain something kutokana na surrounding environment yake inayomzunguka kwa Black Mamba ni kubwa kwa sababu anaweza kuescape from their enemies (eg. Bird and Large Lizard) na kucatch up it's pray without losing alot of energy. So it work like that.

Bolt reached a top speed of 43.99 kilometers per hour
 
Back
Top Bottom