Mjue Mungu wa Freemasonry

Nipe mkuu hiyo ya Fatima.. niipitie

Watoto wa Fatima: Mwanamke aliyewatokea ni nani na alisema nini?
 
Shida nadharia za HAO jamaa zinachanganya.
Kuna mungu mwanaume
Kuna mungu MWANAMKE.
Kuna mungu mtoto
Kuna MUNGU jua
Kuna mungu mwezi
Yaani miungu si chini ya 1000+
ILA nadharia ya uislam dhidi ya Mungu naona.ndo sahihi
MUNGU MMOJA.HAKUZAA WALA HAKUZALIWA
Mungu wa Biblia ndo fact.

Hizo zingine ni nadharia
 
Wana hodhi the real power. Wana amini wao ndio Wana maarifa sahihi " True knowledge" and according to them the true knowledge will help u to acquire 3 things and 3 things only:

1. To acquire power

2. To maintain power

3. To protect power.


Haya maarifa waliyo rahusu watu WENGINE wayapate ni kivuli tu " mere shadow" Cha maarifa yenyewe...

Wao ndio Wana hodhi maarifa sahihi ambayo ndio hayo memba akiyafahamu halafu akatoa Siri anauwawa

So hawataki laymen wajue kuhusu Siri cause they want to protect their power
Mzee una facts nyingi na muhimu.

Lakini naamini hiko unachokisema ndo kazi ya Lucifer. Yule dogo ni mpuuzi sana. Anajibadilisha anakwenda na tempo kwa saizi ya kila anayehemka
 
Back
Top Bottom