Mchokoo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 1,179
- 1,579
(1Wafalme 12: 1--19)
Neno la Bwana Mungu linasema...
"Rehoboamu akaenda shekemu, maana Israel wote walikuwa wameenda shekemu, ili kumfanya mfalme.
Ikawa Yeroboamu mwana wa Nebati alipopata habari, maana alikuwa akaliko Misri, huko alikokimbilia awe mbali na mfalme Suleimani, Yeroboamu akakaa huko Misri.
Wakapeleka watu kwenda kumwita, basi Yeroboamu na jamii yote ya Israel wakaenda, wakamwambia Yehoboamu wakasema, Baba yako alilifanya zito kongwa letu, basi sasa utupunguzie utumwa mzito tuliotumikishwa na baba yako, na lile kongwa zito alilotutwika, nasi tutakutumikia.
Akawaambia, enendeni zenu hata siku ya tatu, kisha mnirudie tena, watu wakaenda zao.
Mfalme Rehoboamu akataka shauri kwa wazee waliokuwa wakisimama mbele ya Suleimani, baba yake alipokuwa hai, akasema, Mwanipa shauri gani ili niwajibu watu hawa?
Wakamwambia wakasema, ukikubali kuwa mtumishi wa watu hawa leo, na kuwatumikia, na kuwajibu, na kuwapa maneno mazuri, basi watakuwa watumishi wako daima.
Lakini akaliacha shauri lile la wazee, walilompa, akataka shauri kwa wale vijana waliokuwa pamoja naye, na kusimama mbele yake. Akawaambia, mwanipa shauri gani ili tuwajibu watu hawa waliosema nami, wakinena utufanyie jepesi kongwa lile alilotutwika baba yako?
Na wale vijana waliokuwa pamoja naye wakamwambia, wakasema, uwaambie hivi watu wale waliokuambia, wakisema, baba yako alilifanya zito kongwa letu, bali wewe utufanyie jepesi, uwaambie hivi, kidole changu cha mwisho ni kinene kuliko kiuno cha baba yangu.
Basi kama vile baba yangu alivyowatwika kongwa zito, Mimi nitaongeza kongwa lenu, baba yangu aliwapiga kwa mijeredi, bali mimi nitawapiga kwa nge.
Basi, Yeroboamu na watu wote wakamfikia Yehoboamu siku ya tatu, kama mfalme alivyoamuru, akisema, mnirudie siku ya tatu.
Mfalme akawajibu watu wale kwa ukali, akaliacha shauri lile la wazee walilompa; akawajibu kama vile walivyomshauri vijana, akasema, baba yangu alilifanya zito kongwa lenu, bali mimi nitaongeza kongwa lenu, baba yangu aliwapiga kwa mijeredi bali Mimi nitawapiga kwa nge.
Basi mfalme hakuwasikia wale watu, maana jambo hili lilitoka kwa Bwana, ili alitimize neno lake, Bwana alilomwambia Yeroboamu mwana wa Nebati kwa kinywa cha Ahiya Mshiloni.
Basi Israel wote walipoona ya kuwa mfalme hakuwasikia, hao watu walimjibu mfalme, wakasema, Tuna sehemu gani katika Daudi? wala hatuna urithii katika mwana wa Yese.
Haya! nendeni zenu hemani kwenu, enyi Israel; sasa itunze nyumba yako mwenyewe, Ee Daudi.
Hivyo Israel wakaenda zao hemani kwao.
Lakini kwa habari ya wana wa Israel waliokaa katka miji ya Yuda, Rehoboamu aliwatawala wao. Ndipo mfalme Rehoboamu akampeleka Adoramu, aliyekuwa juu ya shokoa, nao Israel wote wakampiga kwa mawe hata akafa. Mfalme Yehoboamu akafanya haraka kupanda katika gari, ili akimbilie Yerusalemu.
Hivyo Israel wakaasi juu ya nyumba ya Daudi hata leo"
(1Wafarme 12: 1--19)
Je kama taifa tuna chochote cha kujifunza kutoka katika Neno hili la Mungu?