Mjue 'mfalme' Zumaridi kiundani zaidi

Bahati mbaya, wanaokamata na wanaohojiwa ni wenye imani tofauti na huyo mfalme. Nilifikiri huyo askofu selekwa wakati anahojiwa angesema kwa mujibu wa imani yake badala ya kujibu namna hii

“Kiimani, Makerubi na Maserafi wako mbinguni na si kuja duniani na mafundisho au madai kwamba wanawashukia wanadamu ni jambo lisilokuwepo katika mafundisho yote ya kidini,” alisema Askofu Sekelwa.

Mkuu wa wilaya kumfungia huyo mungu wa duniani kwa kusimamia kwamba anaendesha ibada tofauti na desturi na tamaduni, nadhani angesema hawa wa sasa wanaohubiri je wanahubiri kwa misingi ya deaturi na tamaduni zetu watanzania?!

Wakati fulani uingereza mfalme alikua hakosei wao waliita “a king can do no wrong” wakaja watu waka-challenge mahakamani, nafikiri ni mida muafaka sasa polisi na hawa viongozi wanapofanya maamuzi wasitumie walichokaririshwa madrasa na sunday schools kama ndio citations zao za kufanya maamuzi wazingatie hii nchi ina imani si zile walizokua nazo. Wafuate misingi ya sheria tu
 
Hata sio geni mbona hata nlipo kuna wachungaji wa haiba zaidi ya hiyo???
Sema nchi yoooote haishikiki
 
Ana waumini wazur sana kuna mmoja nilimpataga nikawa namnyandua anataja tu jina la mfalme zumaridi baada ya kumnyandua nilimuacha muacho mmoja hv haji kunisahau
 
Back
Top Bottom