Kila jaamii huongozwa na yule ambae yuko best kwa yale ambayo jamii husika huyafanya...
jamii ya waadilifu huongozwa na muadilifu kuliko wote
jamii ya wezi huongozwa na mwizi kuliko wote
jamaa ya majambazi na watoa rushwa..huongozwa na the best among them.....
Ingependeza kama ungeleta open topic watu wakupe data ili umjue lowasa. ulichokifanya ni kuweka hisia zako kwa kuja na hewa hapa. Acha majungu njoo na data, huna toa huu ukakasi. Ndani ya ccm ni lowasa wa kusaidia, simaanishi mwenye uwezo pekee bali mwenye uwezo wa kupenya na kutusaidia kwa mazingira ya sasa ya ccm if at al ccm takes over again. the truth. Say yes to EL
Ukiweka majungu yako pembeni, hebu tuambie lowasa ana utajiri wa kiasi gani? usiishi kwa hisia ndugu, Unakumbwa na dhoruba tu kirahisi, no research(data) no right 2 speak. Juha mmoja akasema lowasa ana nyumba sijui wapi wapi mi nikajiuliza msomi huyu wa zamani aliyeshika madaraka kwa miaka lukuki posho zake hazitoshi kujenga mijengo? iweje kijana amiliki nyumba yeye mzee mzima ashindwe kumiliki mijengo kadhaa! hv wengine wanamiliki nn? acheni majungu, twendeni kwenye merits, hv mzee six angekuwa ndo pm angekubali kujiuzulu?huo ni ukweli mtupu mkuu.
Hakuna mtu msafi hata mmoja pamoja na ww mleta maada. Kama tuhuma wengi wantuhumiwa hata dk slaa anatuhumiwa, mbowe mwenyewe anatuhumiwa, hat zitto pia.
SIFA ZA LOWASA
Katika histori ya tanzania,
hajatokea mwanasiasa mtoa rushwa kama lowasa.
Hajawahi kutokea mwanasiasa Aliyeonyesha tamaa kubwa ya urais kama lowasa.
Ametengeneza mtandao mpana wa wapambe ndani na nje ya chama chake kama lowasa.
Anatuhumiwa kugawa rushwa ndani ya chama chake lakini hatasikumoja hajasimama kuikemea rushwa au kukana hizo shutuma.
Anakashfa ya ufisadi wa mabilioni na alijiuzulu lakini mwenyewe hajawai kuuthibitishia umma kwamba hakuhusika.
Anatumia nguvu kubwa kujisafisha wakati angeweza kuanika ukweli hadharani kwa ushahidi kuwa hausiki then watanzania tukamuelewa.
Mwenye kujua sifa nyingine aongezee.
Ukiweka majungu yako pembeni, hebu tuambie lowasa ana utajiri wa kiasi gani? usiishi kwa hisia ndugu, Unakumbwa na dhoruba tu kirahisi, no research(data) no right 2 speak. Juha mmoja akasema lowasa ana nyumba sijui wapi wapi mi nikajiuliza msomi huyu wa zamani aliyeshika madaraka kwa miaka lukuki posho zake hazitoshi kujenga mijengo? iweje kijana amiliki nyumba yeye mzee mzima ashindwe kumiliki mijengo kadhaa! hv wengine wanamiliki nn? acheni majungu, twendeni kwenye merits, hv mzee six angekuwa ndo pm angekubali kujiuzulu?
mkuu ingependeza kama wewe ungeleta ushahidi wa kupinga niliyo yaandika.
Mi naamini yote yana ukweli ndiomana Lowasa mwenyewe hajawahi kuyakana.
Kama unaushahidi wa kumtetea uweke hadharani.
KWELI INAPO DHIHIRI, UONGO HUJITENGA.
ni Mmasai aliekulia kwa Wameru kwani baba yake alifundisha UmeruniNi mmeru, ila wengi wanazani ni mmasai.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Sio mdini.
mkuu, unachopaswa kuelewa, mimi siko hapa kumpigia debe sita, membe wala mtu yoyote.
Pili, usitake kuchekesha watu, kama hakuwa na makosa, kwanini ajiuzulu?
Kama hana mtandao wa rushwa, kwanini hajawahi kukana wala kuikemea rushwa ktk chaguzi za chama chake?
Mbona suala la ajira kila siku analipigia kelele *na ninamuunga mkono kwa hilo*, iweje kwenye rushwa yuko kimya?
Kiongozi makini hakubali kubeba maovu ya wengine, huko ni kulea uovu.
Kama hakuhusika kwenye richmond angetutajia wahusika ila mpaka leo yupo kimya.
Nyerere alishasema hadharani kuwa lowasa sio msafi, mbona mwenyewe hakukana.
Unategemea jamii imueleweje?
kisiasani mtu wa visasi sana.
kisiasa
ni Mmasai aliekulia kwa Wameru kwani baba yake alifundisha Umeruni
Ndio mwanasiasa pekee aliyejimwagia unga kichwani nywele nyeupe...........NO RETREAT NO SURENDER,mapambano yanaendelea...lowasa anaumwa uraisi.
hata mimi nimesikia kuwa wameru ni wamasai walioasi zamani sana. kama vile eti waarusha ni wachagga walioasi?Kuwa mmeru si hoja kimila wameru na wamasai wanaruhusiwa kununua au kuuziana ukoo kitu kinachofanyika ni kupeleka idadi ya ng"ombe wanaotakiwa..kikubwa ni kwamba wengi wanaompga vta lowasa hususani ndan ya ccm wanajua nguvu yake na wanajua hata JK jinsi alivyomwngza madarakan kwa kifupi ni mzee wa mikakati na option b hayupo stagnant..pia ni ana maamuzi magumu dat y kipindi chake RC,DC au mkurugenz akskia anakuja eneo lake alkuwa anaona ni bora aende rais kulko PM LOWASA...ni hayo tuu ila bnafs lowasa na slaha naona ni viongoz wenye uwezo wa kuamua na kutenda nchi hii