Frank Lentini alizaliwa May 18, 1889, Italia na alifariki Septemba 21, 1966 Marekani. Aliishi maisha yake kama mwanamaonesho akitumia umbo lake kama sehemu ya maonesho.
Frank ni moja kati ya watoto waliotakiwa kuzaliwa pacha lakini pacha wake aliunganika naye kwa kile ambacho kisayansi wanakiita ‘Parasitic twin’ ambapo kwake alijikuta ameungana uti wa mgongo na pacha wake.
Hali hiyo ilimfanya awe na miguu mitatu na sehemu mbili za siri, hali iliyoonesha kuwa pacha wake alikuwa mwanaume. Alipozaliwa wazazi wake walimuona ni laana na walimgawa kwa wengine waweze kumlea.
Mbali na hali hiyo ambayo haikuwa kawaida, aliweza kuoa na aliweza kupata watoto wanne.
Ukizaliwa umekalimilika ni kushukuru sana Mungu. Wazazi wanapitia msongo mkubwa wa mawazo kwa watoto ambao hawako sawa na wengine. Unaweza kuona ni rahisi lakini sio rahisi.
Ukizaliwa umekalimilika ni kushukuru sana Mungu. Wazazi wanapitia msongo mkubwa wa mawazo kwa watoto ambao hawako sawa na wengine. Unaweza kuona ni rahisi lakini sio rahisi.
In the summer of 2005, a baby girl named Destiny was born with a fully formed extra leg in Detroit. This was the result of a conjoined twin scenario.
In March 2006, a baby boy identified only as Jie-jie was born in Shanghai with a fully formed third arm: he had two full-sized left arms, one ventral to the other. This is the only documented case of a child born with a fully formed supernumerary arm. It is an example of an extra limb on a normal body axis.[4]
In July 2007 a child was born with four legs at the Lebowakgomo hospital outside Polokwane (South Africa)
On November 6, 2007, doctors at Bangalore's Sparsh Hospital in Bangalore, India successfully completed surgery on a two-year-old girl named Lakshmi Tatma who was born with four arms and four legs; this was not true polymelia but a case of ischiopagusSiamese twinning where one twin's head had disappeared during development.
Frank Lentini had a third leg, as well as a fourth foot and two sets of genitals.
A boy named Gaurav, born in Tanahun district in Nepal with an extra arm growing out of his upper back between his shoulder blades, two years ago was published on 2016.