Mjue Dr. Rutengwe Kitaaluma (Google Scholar)

Mjue Dr. Rutengwe Kitaaluma (Google Scholar)

Kwa wale wasiomtambua Guru huyu kitaaluma ni bora wapitie mka-GOOGLE kuona anavyoheshimika duniani ukilinganisha na baadhi ya Ma-Dr. (doctorates) wengine wa kibongo.
Oldewage-Theron, W. H., Dicks, E. G., Napier, C. E., & Rutengwe, R. (2005). Situation analysis of an informal settlement in the Vaal Triangle. Development Southern Africa, 22(1)

Huyu si kama Dr. Manyaunyau au Prof. Maji Mafupi. Lazima mtambue hilo. Ni wa kimataifa zaidi, Mkoa wa Pwani tunasifika kwa kutoa VICHWA katika taaluma kuanzia Dr. Msabaha, Dr. Kawambwa na sasa Dr. Rutengwe.
***Punguzeni WIVU & JAZBA watu wa-bara (wakuja)
Hamna kitu hapo,

Nimesoma article hiyo ambamo yeye ni author wa nne, akitanguliwa na mabosi wake nikaona kama vile ilikuwa ni sehemu ya thesis yakle tu na inaonekana machango wake ulikuwa mdogo sana ndiyo maana ni author wa nne. Baada ya hapo hajaandika kingine kitaaluma; siyo Google scholar, siyo Academia siyo wapi.
 
Kwa wale wasiomtambua Guru huyu kitaaluma ni bora wapitie mka-GOOGLE kuona anavyoheshimika duniani ukilinganisha na baadhi ya Ma-Dr. (doctorates) wengine wa kibongo.
Oldewage-Theron, W. H., Dicks, E. G., Napier, C. E., & Rutengwe, R. (2005). Situation analysis of an informal settlement in the Vaal Triangle. Development Southern Africa, 22(1)

Huyu si kama Dr. Manyaunyau au Prof. Maji Mafupi. Lazima mtambue hilo. Ni wa kimataifa zaidi, Mkoa wa Pwani tunasifika kwa kutoa VICHWA katika taaluma kuanzia Dr. Msabaha, Dr. Kawambwa na sasa Dr. Rutengwe.
***Punguzeni WIVU & JAZBA watu wa-bara (wakuja)
Sidhani kama una haja ya kuandika chochote kumzungumzia mtu aliyejishusha mwenyewe! He is not PhD material, speech yake ni sawa na mfagiaji wa ofisi aliyeachishwa kazi! PhD holder hata kama angekuwa akihitaji kuwepo serikalini sio kwa tungo zake zile za speech ya kuaga Moro!
Sijaelewa kwanini watu wa bara wawe na wivu naye!
Sijaelewa majarida yake yanamfanyaje kuwa mtendaji mzuri! Tofautisha msomi mzuri na mtendaji mzuri!
PhD yake ilikuwa ni juu ya uongozi?
Labda toa ufafanuzi mzuri wa taarifa yako!
 
= wamdharau
Wewe bibi kizee achana na mimi, wewe hangaika huko na wazee wenzio tuache sisi tule ujana. Inakuhusu nini mimi nikikosea spelling au umepandwa na mshawasha kibabu chenzio sukari imepanda kinashindwa kuendesha baskeli
 
Sehemu kidogo aliteleza ni hii ya kusema sehemu ya SALA: NIMEKOSA MIMI NIMEKOSA SANA (Yaani Dr. Alikuwa anadharau LIVE aisee) huitaji kuwa na Digrii ya chuo kikuu kutambua dharau zake dhidi ya kanisa kuu katoliki
 
Hivi kuna watu Vilaza kama watu wa pwani nahisi huitaji kwenda Shule Kujua hilo
 
Mkoa wa pwani umejaaliwa kutoa wasomi wengi nchi hii kwa ngazi mbali mbali ikiwemo wenye Shahada za Uzamivu;
1. Dr. Msabaha (PhD)
2. Dr. Kawambwa (PhD)
3. Dr. Dau (PhD)
4. Dr. Rutengwe (PhD)
n.k.
**Watu wa LINDI mtatusamehe kwa hili
 
Back
Top Bottom