Mjue Dr. Rutengwe Kitaaluma (Google Scholar)

Mjue Dr. Rutengwe Kitaaluma (Google Scholar)

Nasema mtu akitaka kujikomba humu mtandaoni ataaibika maana wapo watu wanaowajua. Nimesema phd ya Rutenge ilikataliwa na wizara ya kilimo kwa kuwa chuo alichosomea hakina sifa na pia hakuna phd ya miaka miwili. Kilimo/utumishi huwa wanatathmini vyeti na vyuo. Hata mke wske alikuja na bsc ya miaka miwili ikakataliwa na ilibidi asnze upya open university ambapo tulikutana. Hizo ndio zilezile phd za akina Mathayo zilizohojiwa huko nyuma lakini watoto wa wakubwa hao. Wanachomoka kirahisi. Jaribu wewe uone. Kama alivyosema mmoja alichomolewa kama zamu yao! Google haitathmini vyeti wala CV. Unaweza kujipamba unavyotaka lakini wanaokujua wanakujua tuu! Mkiendelea kumsifu tutaandika mengi!
 
Wasomi kama kina Dr. Rutengwe huwa hawatupwi jumla wanapewa vitengo visivyo media publicity ili kuendelea kutoa mchango wao katika Taifa. Dr. usikatishwe tamaa na vijana wasiojua umuhimu wako

Dr. Rutengwe ni GURU la kimataifa ana machapisho katika majarida ya kimataifa, hiv hapo alipo anaweza kupata kazi UN mkabaki kutoa macho. Ile ilikuwa kauli ya kisiasa ili kumpaisha mkulu.

Kwa sentenso yako ya mwisho nadhani uko sahihi. Ila kwa neno la pili kutoka mwisho nadhani unamananisha 'kumpasha' na siyo 'kumpaisha'.
 
ilibidi kutoa kauli kama ile ili ku-divert attention ya watanzania toka uchaguzi/kuapishwa Zanzibar sasa ona wooote mmehamia Dr. Rutengwe Dr. Rutengwe! huku Zanzibar watu wanajipigia tu kama vile hakuna kilichotokea. ni rahisi sana kucheza na akili za watanzania
 
Kumbe na wewe mwenyewe ni manyaunyau; mtu "Guru", kama unavyotaka tuamini anawezaje kulialia kwa kuachwa ukuu wa mkoa; kwani alisomea ukuu wa mkoa? Kama ni hivyo basi alipata Parmanent head Damage; Phd.!!?
Rajab wengi tunamfahamu na mahusiano yake na JK; cheo cha uswaiba ndio kimemponza akapoteza mwelekeo, mbona watu wanaojiamini kama Abas Kandoro aliachia ofisi kibingwa bila lalamo na manung'uniko yoyote na kumshukuru JPM! Ombeni Sefue aliondoka kibingwa pia with a smile on his face! Maisha lazima yaendelee; Rajabu katuaibisha wanataaluma wote.
kwa kuongezea ikumbukwe kwamba Rajab alianzia kwenye U - DC na ni mkoa huohuo wa Morogoro , alihusika ama alinyamazia mapambano kati ya wakulima na wafugaji , kiasi ambacho hali ilikuwa mbaya sana ! badala ya kukamatwa au kufukuzwa alipewa promotion ya kuwa RC wa mkoa mpya , nadhani Simiyu kama nakumbuka vizuri , huyu mtu hakujua majukumu yake , aibu sana .
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Dr. Rutengwe ni GURU la kimataifa ana machapisho katika majarida ya kimataifa, hiv hapo alipo anaweza kupata kazi UN mkabaki kutoa macho. Ile ilikuwa kauli ya kisiasa ili kumpaisha mkulu.
Kwa nini asiende chuo kikuu kufundusha ili ajivune 'kutengeneza' watu kufaulu katiia maisha?
 
ilibidi kutoa kauli kama ile ili ku-divert attention ya watanzania toka uchaguzi/kuapishwa Zanzibar sasa ona wooote mmehamia Dr. Rutengwe Dr. Rutengwe! huku Zanzibar watu wanajipigia tu kama vile hakuna kilichotokea. ni rahisi sana kucheza na akili za watanzania
Hata wewe una parmanent head damage kama Rutengwe mwenyewe; hatujaamia huko kwa Rutengwe bali tunalazimika kuliadress hilo pia na kuendelea na mambo mengine kadri yanavyojitokeza, hatuwezi kung'ang'ana mijizi ya uchaguzi Zanzibar na ktukaacha umang'aa wa Rajab upite hivi hivi!
 
Dr. Rutengwe ni GURU la kimataifa ana machapisho katika majarida ya kimataifa, hiv hapo alipo anaweza kupata kazi UN mkabaki kutoa macho. Ile ilikuwa kauli ya kisiasa ili kumpaisha mkulu.
Sio kauli za kisiasa DR . hawezi kujidhalili dunia nzima, analia njaa mm clip yake nimeiona wakati nipo KAMPALA. Na ww akili zako finyu unashabikia upumbavu na uvivu alionao watu tunapinga kauli zke za kujidhalili wakati uwezo wa kiakili anao ,
 
Kwa wale wasiomtambua Guru huyu kitaaluma ni bora wapitie mka-GOOGLE kuona anavyoheshimika duniani ukilinganisha na baadhi ya Ma-Dr. (doctorates) wengine wa kibongo.
Oldewage-Theron, W. H., Dicks, E. G., Napier, C. E., & Rutengwe, R. (2005). Situation analysis of an informal settlement in the Vaal Triangle. Development Southern Africa, 22(1)

Huyu si kama Dr. Manyaunyau au Prof. Maji Mafupi. Lazima mtambue hilo. Ni wa kimataifa zaidi, Mkoa wa Pwani tunasifika kwa kutoa VICHWA katika taaluma kuanzia Dr. Msabaha, Dr. Kawambwa na sasa Dr. Rutengwe.
***Punguzeni WIVU & JAZBA watu wa-bara (wakuja)
Kumbe upo ki-ukabila zaidi. Hongereni saana, lakini hao wote uliowataja kama nakumbuka vizuri mmoja ndo yule alifahamika wakati wake wa utumishi ulipokuwa unafikia tamati kama "bangusilo", mwingine alisemekana kama "mzigo" na huyu wa sasa analalamika kama anatoka katika familia "duni".
 
Nadhani luna lugha ambayo aliitumia .. Imekuwa ngumu sana kwa watz wa kawaida kumuelewa kwa sababu yeye alichofanya ni kuuita nyeusi kuwa ni nyeupe.. Hapo akili fupi lazima zitoke kapa!
 
Kwa wale wasiomtambua Guru huyu kitaaluma ni bora wapitie mka-GOOGLE kuona anavyoheshimika duniani ukilinganisha na baadhi ya Ma-Dr. (doctorates) wengine wa kibongo.
Oldewage-Theron, W. H., Dicks, E. G., Napier, C. E., & Rutengwe, R. (2005). Situation analysis of an informal settlement in the Vaal Triangle. Development Southern Africa, 22(1)

Huyu si kama Dr. Manyaunyau au Prof. Maji Mafupi. Lazima mtambue hilo. Ni wa kimataifa zaidi, Mkoa wa Pwani tunasifika kwa kutoa VICHWA katika taaluma kuanzia Dr. Msabaha, Dr. Kawambwa na sasa Dr. Rutengwe.
***Punguzeni WIVU & JAZBA watu wa-bara (wakuja)

Kumbe chapisho lenyewe ni la ten years iliyopita na alishikwa mkono na wengine si kwa uwezo wake
 
Kweli watu wa pwani mna safari ndefu kitaaluma.. yaani hicho ki publication kimoja ndo unatuletea hapa kumtangaza huyo msomi feki wa PHD? Haya majina ya kina Rajabu yamelaaniwa kweli....
 
Back
Top Bottom