mpita-njia
JF-Expert Member
- Dec 3, 2010
- 1,736
- 1,620
Akilini nilikuwa nafikiri ni mtu wa Kigoma kutokana na Jina lake. Ila kama ni wa Pwani basi avumilie miaka 9 iliyobaki, mwana mteule akishika hatamu atamrudisha tongeni.
huna lolote mkuu ! huyu Rajabu Rutengwe aliokotwa na Jk katika ule mpango wa kuhakikisha vijana wa mkoa wa Pwani wale wenye elimu za makaratasi wanapewa madaraka hata kama hawakuwa na uwezo wowote , ilikuwa ni mpango wa kufaidi matunda ya rais wa nyumbani , hapa wamo pia akina Shukuru kawambwa na Dr Seif Rashid wa REDCROSS ambaye alikuwa waziri wa afya , unamkumbuka Ramadhan Maneno aliyebwagwa kwenye ubunge anayesemekana kuwa na elimu ya msingi aliyeteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ? huu ulikuwa ni mpango wa kizamani unaoitwa " SASA NI ZAMU YETU " vinginevyo Dr Rajab ambaye baba yake Mzee Rutengwe alikuwa ofisa wa bandari miaka iliyopita hana uwezo wa kubuni chochote , na kile kilio ndio uhalisi wa mambo .
Vilaza bhana...sasa analilia nini akauze mananas kiwangwaKwa wale wasiomtambua Guru huyu kitaaluma ni bora wapitie mka-GOOGLE kuona anavyoheshimika duniani ukilinganisha na baadhi ya Ma-Dr. (doctorates) wengine wa kibongo.
Oldewage-Theron, W. H., Dicks, E. G., Napier, C. E., & Rutengwe, R. (2005). Situation analysis of an informal settlement in the Vaal Triangle. Development Southern Africa, 22(1)
Huyu si kama Dr. Manyaunyau au Prof. Maji Mafupi. Lazima mtambue hilo. Ni wa kimataifa zaidi, Mkoa wa Pwani tunasifika kwa kutoa VICHWA katika taaluma kuanzia Dr. Msabaha, Dr. Kawambwa na sasa Dr. Rutengwe.
***Punguzeni WIVU & JAZBA watu wa-bara (wakuja)
Dr. Rutengwe ni GURU la kimataifa ana machapisho katika majarida ya kimataifa, hiv hapo alipo anaweza kupata kazi UN mkabaki kutoa macho. Ile ilikuwa kauli ya kisiasa ili kumpaisha mkulu.
Mkuu Ramadhan Maneno ana Masters. Ila ukweli ile Masters ni ya Maruhani. Alisoma CBE wakati anafanya kazi TRA, alikuwa anafanyiwa mitihani, hakuna alichojua. Akasoma hapo CBE hadi akapata bachelor. Ndio maana Mimi nikisikia jitu lina degree ya CBE nalidharau Mara mia nane.huna lolote mkuu ! huyu Rajabu Rutengwe aliokotwa na Jk katika ule mpango wa kuhakikisha vijana wa mkoa wa Pwani wale wenye elimu za makaratasi wanapewa madaraka hata kama hawakuwa na uwezo wowote , ilikuwa ni mpango wa kufaidi matunda ya rais wa nyumbani , hapa wamo pia akina Shukuru kawambwa na Dr Seif Rashid wa REDCROSS ambaye alikuwa waziri wa afya , unamkumbuka Ramadhan Maneno aliyebwagwa kwenye ubunge anayesemekana kuwa na elimu ya msingi aliyeteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ? huu ulikuwa ni mpango wa kizamani unaoitwa " SASA NI ZAMU YETU " vinginevyo Dr Rajab ambaye baba yake Mzee Rutengwe alikuwa ofisa wa bandari miaka iliyopita hana uwezo wa kubuni chochote , na kile kilio ndio uhalisi wa mambo .
Hivi wewe ziko timamu kweli?sasa huyo dakitari wako kwa yale al8yoyafanya bado tu huamini kama kahudhuria shule na kufaulu mitihanibyake ya darasani tu 8la kiukweli hajaelimika na wala hana faida kiasi kwamba sisi wa vidato vya nne na sita tumempiku na tuna impact kubwa katika jamii inayo tuzunguka?Kwa wale wasiomtambua Guru huyu kitaaluma ni bora wapitie mka-GOOGLE kuona anavyoheshimika duniani ukilinganisha na baadhi ya Ma-Dr. (doctorates) wengine wa kibongo.
Oldewage-Theron, W. H., Dicks, E. G., Napier, C. E., & Rutengwe, R. (2005). Situation analysis of an informal settlement in the Vaal Triangle. Development Southern Africa, 22(1)
Huyu si kama Dr. Manyaunyau au Prof. Maji Mafupi. Lazima mtambue hilo. Ni wa kimataifa zaidi, Mkoa wa Pwani tunasifika kwa kutoa VICHWA katika taaluma kuanzia Dr. Msabaha, Dr. Kawambwa na sasa Dr. Rutengwe.
***Punguzeni WIVU & JAZBA watu wa-bara (wakuja)
Mweupe pee! CBE ni jipu