Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 4,684
- 5,655
Mtaalam vs Mjuaji (Machino) (Chawa)
Mtaalamu ni mtu mwenye ujuzi wa kitaalam katika eneo fulani, amepitia mafunzo rasmi, uzoefu wa kazi, au elimu ya kina. Mfano: mtaalamu wa afya, mtaalamu wa sheria.
Mjuaji ni mtu ambaye anajua mambo mengi, lakini si lazima awe na elimu rasmi au ujuzi wa kitaalam. Anaweza kuwa mwerevu, mwenye akili ya kawaida au ya maisha, na anaelewa vitu haraka
Tofauti
Mtaalamu - Ana elimu rasmi au mafunzo maalum
Mjuaji - Si lazima awe na elimu rasmi
Mtaalamu- Ana uzoefu wa kitaalam
Mjuaji- Anaweza kuwa na uzoefu wa maisha au uelewa wa kawaida
Mtaalamu- Hutegemewa kitaalam
Mjuaji - Si kila wakati anategemewa kama chanzo rasmi
Ishawahi kukutokea au inakuaje ikitokea
Mjuaji anayejifanya anajua jua alafu akibishana na Mtaalamu?
Au ww ulikuwa unajifanya mjuaji kwa mtaalamu mkawa mbabishana
Kwenye kaz au vitu vingine?
Au wewe ulikuwa mtaalamu alafu mjuaji mmoja akawa anapingana na wewe?