Mjomba wangu sitakusahau

Mnamcheka bure tu maskini, huyu alitakiwa apewe mwongozo na mjomba ili ajiweke sawa,
mjomba angemwelimisha tu si kumkomoa mpk kumpigisha shoti ili apate sababu kurudisha kwao.
Yes hawezi kuwa doctor wa meno but ilikua dream yake maybe, kuwa mtanesco that doesnt need too much power pale pale ana kibarua angesoma eve class veta kujiendeleza.
Kumrudisha kijijini mjomba kaonyesha pure miafrica tulivyo itasaidia nini?
Huyu dogo kakatishwa ndoto zake tukumbuke mamaake alikua anamtegemea na aliweka matumaini kwamba kijana kaenda mjini matunda yataonekana.
Then unarudishiwa mtu hospitali na tena najua alitoa diss kibao kabla jamaa hajazinduka.
I put down to 0.0000πŸ‘ŽπŸ‘ŽπŸ‘Ž kwa mjomba.
Dogo usiwe mnyonge tia nguvu hapo ulipo we bado kijana mjomba utakutana nae tu huko mbele kajichokea mpe ukweli, mmwagie hata pombe, mpigishe magoti akiri hila alizofanya, mnyanyapae nawewe mpaka ajute
Yes hamna kucheka na nyani.
Imeniuma sana,
halafu wapuuzi hapa mnaleta utani kwenye issue km hizi daah.
 
Kwa hiyo Kilo ya ulezi unauzaje?
 
Mkuu, mjomba ni mama huwezi kumfanya lolote atakulaani.Dogo alikuwa mbumbumbu saba.Unajua kufunga umeme ? Ndio! Mjomba aliamini kuwa kijana kesha jiongeza huko na anajua.Kumrudisha kijiji ni msaada mkubwa kwa dogo maana ipo siku Kule saiti angeweza kushika umeme was kV na kubaki majivu.Mjomba ni mtu mwenye busara sana hana kosa lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…