Chemagati
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 210
- 286
Daktari wa Meno,
mtanesco, ulikuwa na uchu wa maisha, ila kuwa mkulima ni poa
mtanesco, ulikuwa na uchu wa maisha, ila kuwa mkulima ni poa
Kwa akili yake anafikiri std 7 drop out anaweza kuwa tabibu. Wasukuma mnakwama wapi? Hajui umeme eti anaunganisha nyaya. Typical bashite brainnaomba ongea hata na rafiki yako anisaidie kazi hata udaktari tu kama atapata nafasi anipe ajira.
Hapa sijaelewa, kwani una taaluma hiyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unashangaa anawezaje kumiliki familia kwa akili zake zilivyoMkuu unaposema umejenga na unaendesha ma maisha vizuri kupitia kilimo unamaanisha; umeoa? Una watoto?/familia?
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa akili zako kama za polepole.
Miaka ipi hiyo?1920s au 2000s?Kipindi hicho mtoto wa dada yeye alitafutiwa kazi hadi leo ni daktari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjomba wako alikiwa sahihi kutokupeleka dukani kwake, kwani ungekuwa mzigo, na angekuwa anapata short kila siku. Ndio maana akashindwa kukupeleka dukani kwake.mtanesco, ulikuwa na uchu wa maisha, ila kuwa mkulima ni poa


Dah!!Kipindi hicho mtoto wa dada yeye alitafutiwa kazi hadi leo ni daktari.
Sent using Jamii Forums mobile app

















2samehe jamaaKipindi hicho mtoto wa dada yeye alitafutiwa kazi hadi leo ni daktari.
Sent using Jamii Forums mobile app



mkuu kuwa siriaz basiTena anasema amtafutie kazi HATA YA UDAKITARI. Ina maana angeweza kupata zaidi ya hiyo ila kwa vile ni msaada hata udakitari sio mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app










