Pep
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,338
- 5,490
Mkuu unaposema umejenga na unaendesha ma maisha vizuri kupitia kilimo unamaanisha; umeoa? Una watoto?/familia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitafunga ndoa tarehe 26 mwezi huu.Mkuu unaposema umejenga na unaendesha ma maisha vizuri kupitia kilimo unamaanisha; umeoa? Una watoto?/familia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Alijua sababu za kukataa ila mimi nilijua naweza kazi.Hahahahahaha,,umejua kunichekesha yan mwenyewe ulitaka zako kazi ya udaktari au utanesko,,ila mjomba alikubania .
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi hicho mtoto wa dada yeye alitafutiwa kazi hadi leo ni daktari.Mkuu nimesoma nikaishia katikati maana nilikuwa kama nachanganyikiwa vile. Hebu naomba kuelewa kidogo. Wewe darasa la saba ila ukaomba kazi ya udakitari? Halafu pia ukaomba kazi ya TANESCO?
Mtoto wa dada alikuwa daktari baada ya mjomba kumpeleka kwa Jamaa mwingine anajuana naye.Mkuu unataka kuwa dakitare wakati haujasomea?au sijasoma vizuri uzi wako
And truly kipawa anachoAisee! Huyu mkuu nadhani ameandika comedy hapa. Mwanzoni nilisoma nikashindwa kumaliza nikaishia katikati maana nilikuwa kama nachanganyikiwa vile. Nimetulia nikaamua kuisoma mpaka mwisho nimecheka sana. Hii ni comedy kabisa.
Sasa kama huna taaluma yaan udaktari kwanini uliomba upate kazi ya udaktari?
Ana maana kufanyakazi katika hospitali kama kufyeka nk casual labourerTena anasema amtafutie kazi HATA YA UDAKITARI. Ina maana angeweza kupata zaidi ya hiyo ila kwa vile ni msaada hata udakitari sio mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app


. Mjomba alikuona wewe ni bogasMimi nilivyofika tu hapo kwenye swala la udaktari nikagundua nimeingizwa mkenge ikabidi nirudi juu kusoma jina la mleta mada.naomba ongea hata na rafiki yako anisaidie kazi hata udaktari tu kama atapata nafasi anipe ajira.
Hapa sijaelewa, kwani una taaluma hiyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee! Huyu mkuu nadhani ameandika comedy hapa. Mwanzoni nilisoma nikashindwa kumaliza nikaishia katikati maana nilikuwa kama nachanganyikiwa vile. Nimetulia nikaamua kuisoma mpaka mwisho nimecheka sana. Hii ni comedy kabisa.


jamaa noma sana