Calm down
Uandike upya
Ningekuwa natumia freebasics ningeweza kupotezea nikijua labda kuna attachment siioni kwakuwa sina data.
Lakini hapa nashangaa huu uzi una umwendelezo au akili yangu imechanganywa na hii mbege ninayokunywa hapa!?
Ya Maili Sita.
Ya Maili Sita.
kwa malapaMaili sita wapi?
Kwa msafiri, Mashine, Gorofani, Weruweru, Kimashuku, au Mdamani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu I understand maombolezo yako. Mungu awatie nguvu. Kila mtu anaona mtu aliyetengeneza pesa ndio amefanikiwa maishani.
Lakini watu hawaoni wale watu walioenzi VALUES na kuishi kiuhalisia. Watu hawa wakitutoka ndo tunaona kile walicho enzi.
Tulikuja uchi tunaondoka uchi, no mattaer emetengeneza au hujatengeneza kitu gani duniani.