Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
MJINI SHULE!!
Chizi kaokota elfu kumi MGOGO mmoja aliekuwa anapita zake akamuona
MGOGO; oya samahani hicho ni kitambulisho changu!
CHIZI: Wewe hata kama sina akili vzuri hicho sio kitambulisho ni ela wewe
MGOGO: angalia vzur!
CHIZI: kama kwel n kitambulish chako wewe unaitwa nani?
MGOGO; Benki kuu ya Tanzania
CHIZI: ulizaliwa mwak gan?
MGOGO: mwaka 10000
CHIZI: dah kweli chako samahani kwa usumbufu
MGOGO: aina noma ukiviona vingine basi unitafute
CHIZIOA