Ablessed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 4,616
- 3,502
Haahahahahahahaha nani atawaambia mambo ya mafuriko wakati sote twaishi masaki na oysterbay we vipi. Tena ukifika kijijini wanauliza he wamjini wamefika wanakaa jirani na mkuu wa nchi . Skwambii hizo heshima unazopewa kama msaidizi wa mkuu wa nchi vile. Tena ukiwachanganyia kile Kiswahili cha uswazi mamamamamamama uuuuuiiiiiiiiii . Hata ukitaka kuchochea chungu cha ugali wanakuambia acha utaungua wewe wa mujini. Wangejua kwa mfuga mbwa huwa tunapikia mkaa wangeisoma. Kila wakitaka mwaliko unawatolea nje ama kweli siri ya mtungi aijuae kata.Hahahahahahahahahaha na mafuriko yakianza je si mnalala shuleni?hili hata hawalijui ila wanajua mko mjini.