amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,171
- 31,357
shughuli unaweza kuimudu weye?
mie gogo msoma gazeti
shughuli unaweza kuimudu weye?
sijawahi kuogopa
We Mrembo by Nature bado unang'ang'ania mjini tu hadi muda huu? Hebu bwana mwambie shemeji atupeleke Serena bibi acha uchoyo ah! ..... mie na weye tena shogaangu! lol
Ushoga tukutane harusini na misibani. Kwenye mambo mengine kila mtu abaki kwake na dinner akale kivyake. Mie mambo ya kuleteana kadi nani anataka
Bibi wee kadi na sare uvishwe na bado ulazimishwe kwenda daka jiua la bi arusi.............. hahaha mambo ya kulazimisha bwana atabasamu utaweza weye? hahaha leo kusema ukweli nimebakia na mshangao (Afu ajabu jamani usiku wa kuamkia leo niliwaota mie hawa hata sijui ilikuwaje nkawaota!!) kumbe ndo nakutana na shuzi lao asubuhi hahahaha ebu mie nlale ..............mjini raha mwankwetu!
Mbona hapa umeogopa umesema tuhamie PM?