ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,858
- 131,822
Hahahaha kijijini si pa kukaa jaman, panachakazaje sasa. hata ukipaka lotion dakika moja ushababuka...mweehhh kijijini panataka moyo waache tu waje mjini warudi na mbegu.
Hahaha....nimechekaje!
Hahahaha kijijini si pa kukaa jaman, panachakazaje sasa. hata ukipaka lotion dakika moja ushababuka...mweehhh kijijini panataka moyo waache tu waje mjini warudi na mbegu.
HAhahahhahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh Mrembo by Nature nlipoona tu hii thread nkajua nini wawaza hebu nkae kimya mie ya mjini siyajui............... lol yaani kama namwona Auntie Lara 1Kijijini sembe iwepo?wanaitoa wapi? mijini raha hasa ukimpata bwana muuza sembe anayeweza badilisha status from unknown to known....hehehe msinisute mie.
kwani unafikir mjini kubaya!HAhahaha Zahra White nyie wadada wabaya !! kwani kunani mujini hapa?
HAhahaha Zahra White nyie wadada wabaya !! kwani kunani mujini hapa?
kijijini wanahonga mukaniki mujini wanahonga mugari,muduka
HAhahahhahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh Mrembo by Nature nlipoona tu hii thread nkajua nini wawaza hebu nkae kimya mie ya mjini siyajui............... lol yaani kama namwona Auntie Lara 1
ah mie limenishukaje? maana kila kukicha blikuwa lazima niangalie 'inspirational pics' kumbe za mazabe. But ah shoga kwan vipi mana kama kuiba ndo mshaiba, tena sikuvuta katembea mwenyewe kunifuata na saini katia bila shuruti na ndio hivyo kama nlikuwa na starlet sasa hivi natinga ndani ya wenyewe mwaita Audi 7 sijui............... Zahra White na mwenzio Mrembo by Nature mtabaki kupauka midomo kwa kusema na vidole kuuma kwa kutype key boards hah
Hahaha....nimechekaje!
Inategemea na kijiji utokacho na pia mjini unakoishi. kuna wengine wana maisha mazuri vijijini kuliko hata waishio mijini, na kuna watu wanaishi mjini ktk mazingira magumu kuliko hata wale wa kijijini. kukubwa ukiwa na mpunga hata kijijini utaona ulaya tu.
we Mrembo by Nature ukisutwa mie simo!
kwanza my lips are sealed! cacicoooooooooooooooooooooooooooooo u ko wapo mke mwenza amu yani hata wewe imekup[ita hii (unaniangusha odo) Fixed Point mi ukiniambia nirudi mfaranyaki walahi tunapigana! King'asti leo nipitie gal nimegudua bonge la kiota sehemu nikupe habhari ya mujhini
Heheh kusutwa sunna kwa mwanamke, uzuri mjini hakuna kusutana kule kwa kukalishana chini, ni kwa maandishi tu na mwisho yanafutwa. mjini rahajeeee
Tena ukipanda dala dala hukosi wa kukulipia nauliMjini kuna raha zake bandugu, hata omba omba hawashindi njaa, uongo jioni elfu 3 hakosi, kijijini ushaona omba omba barabarani?
AHAHAAHHAHAHA MUJHINA bana!
na ukitushinda kwa minrno tunakomaa na details zako za chini ya kapeti!
TUNAZIWEKA KWEUPEEE!
af tunapotea eneo la tukio!
mujhini sihami!hiz foleni ntavumilia tu!