snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,338
ahahahhahahah twini wake dada mkubwa na we mjhini uhami!Kijijini hata umeme hakuna, sikwambii hosptali iko mbali kama kitu gani. Usafiri ni kutembea kwa miguu au kupanda baiskeli nani anataka shida zote hizi. Tena hasa kule kwetu hata chai hakuna mpaka wakati wa mavuno ndo pesa ya sukari ipatikane. Acha bwana hata mie sirudi na wakinilazimisha nitawatoroka tu. Samahani ulikua unazungumzia Dar huondoki eeeeee nahisi niko nje ya mada tayari.
mwenzangu sa tuhame twende wapi na mavilemba ya naija watafunga kina nani!
akhu!mi sihami mujhini!
sasa ngoja aje twini wako hapa uona atakavoshangaa shangaa!
ataanza kunikumbusha masuku ya kumptimbiiiii!wakati mi sitaki tena kurudi peramiho!ah mi ananiuziga mimi Fixed Point basi tu! nafanyaje sasa na ndo dada angu mkubwa na nnavompenda sasa?!sina jinsi
Last edited by a moderator: