Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,831
hahaha [emoji23][emoji28][emoji23]Ila na wewe inaelekea hodari wa kunya aisee umekata buku mbili kwa kulipia kunya khaa
hahaha [emoji23][emoji28][emoji23]Ila na wewe inaelekea hodari wa kunya aisee umekata buku mbili kwa kulipia kunya khaa
poleYahni jua Kali unatamaniii kunywa maji mengi ila sasa ukishakunywaaa utegemee hasara za kutosha kwenda toilet🙂🙂🙂
Nakunywa sana maji jua kaliii balaaa
[emoji23][emoji28][emoji23]Sasa we chukua 2000 gawanya kwa mia 2 uone kanya mara ngapi? Anastahili pongezi khaa
Mini kuna chaka kama si kutafuta kulipa elfu hamsini ya faini sasa si bora hiyo 200.Kwani unahara?? Kama ni mkojo si bora utafute chaka tu ?
Usiwe kama huna akili,,nenda nyumba yoyote omba msaada wa choo utapewa,,we wa wapi wewe?? Au umeingia mjini jana??Mini kuna chaka kama si kutafuta kulipa elfu hamsini ya faini sasa si bora hiyo 200.
Sasa kama posta pale unaenda nyumba yanani.Usiwe kama huna akili,,nenda nyumba yoyote omba msaada wa choo utapewa,,we wa wapi wewe?? Au umeingia mjini jana??
Yakupanda kwa hiyo njia huwa matamu kweli kweliMjini hata kukata gogo gharama, nakat kijijini unaingia tu kichakani na usiombee ule mapera mana kifuatacho baada ya mvua ni miche ya mipera
Kunya tuHahahaha Pole mom kwa week 14000 simchezo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Billie umenichekesha hapo ni double ndogo na kubwaKunya tu
We kaka comment zako imebidi nibaki nachekaaa tu...duuuh mungu anakuonaKunya tu
Ila nimekupenda bure hupanic wala nini yaani umeiva aiseeWe kaka comment zako imebidi nibaki nachekaaa tu...duuuh mungu anakuona
nawaona nawaonaa mnaanza kupendana...Ila nimekupenda bure hupanic wala nini yaani umeiva aisee
Ha ha ha haaaa kawaida mkuu...ila kuna watu humu maneno yao yanahitaji moyo wachuma kuwastahamili......Ila nimekupenda bure hupanic wala nini yaani umeiva aisee
Uchakubimbi tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nawaona nawaonaa mnaanza kupendana...
2000!!! Unaharisha?Yahni siamini kama mpaka sasa hivi imekatika buku mbili hivi hivi kwa ajiri ya kulipia toilet tu...🙂
Sasa nimeamua kufanya maamuzi magumu kuanzia muda huu nimesitisha kutumia kinywaji cha haina yeyeote mpaka nitakapolejea nyumbani.
Sipendi hasara za kujitakia mimi🙂😉.
Jioni njema
Kwa hiyo mkuu uliona mnduku tuPale kwenye vipoli vya UD nilishamshuhudia Sister Du akishusha vyombo, nipo njian napita naskia kichakan pta pta pta ptraaaa, kuinama nakutana na mnduku mweusi kama ukuta wa jikoni notes zpo pembeni.