Mjini cha bure salamu tu.

Mjini cha bure salamu tu.

Mima white cute

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2017
Posts
740
Reaction score
1,305
Yahni siamini kama mpaka sasa hivi imekatika buku mbili hivi hivi kwa ajiri ya kulipia toilet tu...🙂

Sasa nimeamua kufanya maamuzi magumu kuanzia muda huu nimesitisha kutumia kinywaji cha haina yeyeote mpaka nitakapolejea nyumbani.

Sipendi hasara za kujitakia mimi🙂😉.

Jioni njema
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mayooooooo Leo asotaka hasara ,imekufikia hasara !!.

Uko msalani wameunganisha huduma ya internet na kutolewa bure kwa watumiaji wake au ????.
 
Yahni siamini kama mpaka sasa hivi imekatika buku mbili hivi hivi kwa ajiri ya kulipia toilet tu...🙂

Sasa nimeamua kufanya maamuzi magumu kuanzia muda huu nimesitisha kutumia kinywaji cha haina yeyeote mpaka nitakapolejea nyumbani.

Sipendi hasara za kujitakia mimi🙂😉.

Jioni njema
Tumbo la kuhara ni noma utaadhirika bureee kwa ubahili wako
 
Ila na wewe inaelekea hodari wa kunya aisee umekata buku mbili kwa kulipia kunya khaa
 
umekunywa lita ngapi wakati upo nje ya nyumbani shem darling?
Yahni jua Kali unatamaniii kunywa maji mengi ila sasa ukishakunywaaa utegemee hasara za kutosha kwenda toilet🙂🙂🙂
Nakunywa sana maji jua kaliii balaaa
 
Ila na wewe inaelekea hodari wa kunya aisee umekata buku mbili kwa kulipia kunya khaa
Mama weeee kwa huduma hiyo ukimaliA pesa yote kwa Siku moja ukimaliza muone daktar.

Vinywaji ndio balaa mdogo muda wrote inasumbua....na ikisumbua andaa mia mbili mapema hutaki baki hayo kama utaweza ha ha ha hatariiii
 
Ha h
Tumbo la kuhara ni noma utaadhirika bureee kwa ubahili wako
A haha haaaa ha sio hiyo mkuu maji mengi mkuu jua Kali sasa linasabisha hasara za kwenda toilet Mara kwa mara.....na vyuma hivi
 
Pale kwenye vipoli vya UD nilishamshuhudia Sister Du akishusha vyombo, nipo njian napita naskia kichakan pta pta pta ptraaaa, kuinama nakutana na mnduku mweusi kama ukuta wa jikoni notes zpo pembeni.
 
Ha ha ha ha hiyo kauwa watu huyo sister du sio wasport sport.

Kila kitu pesa.....sasa kunabaadhi ya sehemu wamaandika ukikojoa ha faini elfu hamsinj...sasa thubutu kukutwa uone cha moto
 
Back
Top Bottom