Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,230
- 10,094
Tuache maskhara mkuu hv we unafurah kuona mwanaume anamuinamisha mwanaume mwenzie???!Kwa mtazamo na maono yako wala hujapingwa, haya relaaaaaax.
Tuache maskhara mkuu hv we unafurah kuona mwanaume anamuinamisha mwanaume mwenzie???!Kwa mtazamo na maono yako wala hujapingwa, haya relaaaaaax.
Hakika kabisa tena ubuyu mtamu wenye ladha harua na maluwa mithili ya tende mbivu iliyokoshwa,Nakuona nakuona!! Unakula tu ubuyu!!!
mie nawapa ukweli ambao hawataki kuusikia, na itabidi wazoee hakna namna.Unaonekana una experience we katoto
Kwahiyo kutofurahia uwepo wao ndo kunafanya wasiwepo? Hivi huwa mpo serious kweli kwenye vita ya ushoga? Au mnajitekenya na kucheka wenyewe?Me celew huyo mtu ana nn man maan naona kama anafurahia uwepo wao
Kufurahi au kutofurahi hakubadilishi uhalisia kuwa wana inamishana, wao wenyewe kwa maamuzi na ridhaa yao binafsi bila kushurutishwa na yeyote, wakaona wafanye jambo hilo na wanatumia viungo vya miili yao, mie naanzaje kupata mushkeli au tatizo?Tuache maskhara mkuu hv we unafurah kuona mwanaume anamuinamisha mwanaume mwenzie???!
Tuache maskhara mkuu hv we unafurah kuona mwanaume anamuinamisha mwanaume mwenzie???!
dah poleWikiendi moja niko zangu kwenye kilaji ndio nilikutana na hili jinamizi lililojipachika jina la Sarah, tunaburudishwa tu na hawa warembo wanaofanya kazi kwenye sekta yao isiyo rasmi (kujiuza) muda huo mi najifanya mgumu tu sitaki mazowea na sketi wala vimini na hata kuhudumiwa nilichagua kijana mwenzangu anihudumie kinywaji
Asee tunakoelekea sasa kubaya sana nakuheshim bora yaishe👐We mwenyewe unaeza kuta baada ya miaka kazaa ukawa bwabwa
Hujafa hujaumbika !!