Mjihadhari na huyu tapeli wa JF

Asante kwa ushauri wako mkuu
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Bahati nzuri Sakayo wangu alistukia picha....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ha ha haaa usiamini sana haya mambo hufanywa kwa siri sana.

Jamaa kanifaa sana ujue japo anaweza kula ban mii nampongeza sikumbuki id yake
 
Hadi unafikia hatua ya kurusha hela kwa mtu ambae hujawahi kumwona tangu umezaliwa nakushangaa sana umejuaje kusoma na kuandika.
Ndiomaana nimekuja kutoa tahadhari kwa wasiojua kusoma na kuandika kama mimi mkuu
 
Ukiongea na mtu ukaona kila mda anakusumbua na msg au nipigie huyo ni tapeli
Mfanyabiashara hahangaiki ukiona hivyo unakimbiaa
 
Ha ha haaa usiamini sana haya mambo hufanywa kwa siri sana.

Jamaa kanifaa sana ujue japo anaweza kula ban mii nampongeza sikumbuki id yake
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mkuu utakula ban kwa kumtaja mtoto wa mfalme......
 
Mkuu unamaanisha jamaa katapeliwa sababu niwamkoani??
 
mkuu nimeishia kucheka..... mbona umetapeliwa kirahisi sana ? hizi akili tunazitoa wapi ? kweli unamtumia mtu usiyemfahamu pesa ? hivi ulidai ungedhani angerudisha ?.....
 
Kudai ile pesa, nilitaka kujiridhisha tu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…